Vsanene
Senior Member
- Feb 26, 2017
- 100
- 83
Hongera sana mkuu,Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.
Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
Kwa upande wangu sijawah eka picha za ngono kwenye cm.