Mwezi mmoja wa Ndoa Sasa Tangu niolewe na mwanaume ambaye nilimpata kupitia JF

Si ukatulie umlee mumeo sasa ,uko hapa na wakulungwa mnabishana, lea ndoa yako mama kesho kuna tatizo rudi hapa mrejesho
 
After 3yrs
"Jamani wanajamvi, nipo hapa kuleta dukuduku langu kuhusu yule Frank niliowaambia nimempata humu!"

Hapo ndio picha la komandoo kipensi litaanza...

All in all, hongereni.
 
Na mtu ukimweleza ukweli atasema unamtisha,huo ndio ukweli wenyewe ndoa si lelemama,
Hata yeye anajua ni mtu mzima huyo eti...na maneno hayo ameshaambiwa sana huko kwao kwa hiyo hata mkiyarudia ninyi hayana maana yoyote nyie mpongezeni tu atakayokutana nayo huko ni ya kwake ninyi hayawahusu na pengine hata hamtoyajua
 
Ukitoa thread usipangie watu cha kusema,
Msema kweli mpenzi wa Mungu na ukweli huwa siku zote haupendwi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom