wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
mwezi tu unasifia..wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
nimekumiss sana
hongera Mareche,Mungu aendelee kuwatangulia,waweza mtoa kwa a suprise and well arranged dinner pia kama ni mpenzi wa jewels mtafutie the best one,otherwise subiri pia maoni ya wadau.Cheers
Bado hata haijafika saa nne,sasa ni saa nane alfajiri,ngoja muda upite vumbi utaliona![/QUOTE
hilo nalo neno hii mijidude inamahana basi kama ni ngoma ndo kwanza chakacha linaanza
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
One month....????!!! Halafu unasema zawadi gani? kafanya nini tofauti na wajibu wake? Anyway, can you prove that what she promised you before the mass has performed for 100%? Subiri kama miaka mitano ijayo kama hujatamani kuifuta hii thread...!wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?