toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
- Thread starter
- #41
Asante sana kwa ushauri muruaKutafuta nyumba mguu kwa mguu wapi nayo kujichosha tu. Wewe post matangazo fb (kwenye groups za members wengi), insta, jumia, zoom tanzania, kupatana etc.
Weka bei yako na vigezo vyako..mbona owners watakuona tu hata kama dalali hakuzingui maana ushaweka vigezo vyako na usilipe hela mpaka ujiridhishe na info za wamiliki.
Mas*nge sana haya majamaa hata mimi siyapendi kinoma noma.