PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
- Thread starter
- #21
Sure Remmy!Najua angekuwa na maswali 2 makuu( ya msingi) kwa PM kwa alhamis zote, ukiachilia mbali maswali ya nyongeza. Naona gap kubwa sana pia humu JF. Anyway may she rest in peace!
God will jugde her to our wish and prayers!!