Mwezi mmoja bila mawasiliano ya JF itakuwaje?

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
537
leo jioni mtandao umenikatalia kujoin na JF members wenzangu ili kubadilishana hili na lile baada ya uchaguzi. Nilijaribu kama mara mbili ikawa inaniletea message za ooops!

Nikaanza kusikitika namna nitakavyokosa uhondo wa leo kutoka JF. Nilipojaribu mara ya tatu kitu kikajibu https://www.jamiiforums.com. Kwa kweli nilifurahi sana.

Baadaye nikaanza kuwaza itakuwaje pale ambapo wana JF tutakosa mawasiliano ya JF kwa mwezi mzima iwapo dakika kumi tu zilileta mkanganyiko katika kichwa changu?
 
Back
Top Bottom