Mwezi December wachaga wagoma kuujaza mabasi... Wamiliki wapanga kushusha bei

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Ukitaka kujua sio peke yako hali ngumu nenda ubungo stand
Huko ni shidaa
Wamiliki wanapanga kupunguza bei baada ya hata bei elekezi kugomewa na wachaga wakitaka wapunguziwe

Kwa hisani
Ya@tmwendokasi
 
Mungu (lakini sio Konder) Onyesha Sehemu Hela Ilipo (MOSHI)
 
Back
Top Bottom