Mwesigwa-katibu mkuu tff

Changalucha

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
505
582
Nawapongeza TFF chini ya uongozi wa Rais Malinzi kwa uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa.
Ni matarajio ya wanasoka hapa nchini Kuwa Mwesigwa utatumia ueledi wako na uzoefu ulio nao kukuza na kuendeleza mchezo huo pendwa wa kambumbu. Hongera MWESI.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
hakuna kitu hapo..wote wezi tu Tanzania hatuwezi soka ....labda kuwe na mashindano ya kubanduana ndo tutashinda
 
Malinzi naye alikuwa yebo yebo kabla hajaukwaa urais wa TFF. Lakini hebu tuangalie imekkaaje! hawa jamaa wote wanatoka ng'ambo ya ziwa fulani wana jamvi hii iko vipi?
 
Mwesiga kabla ya hapo alikua nani !? Cv

Kwanza jamaa amesoma anaelimu nzuri tu aliyoipata pale udsm.
Kabla alikuwa katibu wa yanga pia alishafanya kazi na plan international pale makao makuu baada ya kurudi kutoka masomoni uiengereza
Tatizo nahisi jamaa atakuwa amebebwa sababu yeye na malinzi wote ni wahaya
U
 
Source plus picture, cause wengine hatumjui!

mweigwachequetbl.jpg
 
Kwanza jamaa amesoma anaelimu nzuri tu aliyoipata pale udsm.
Kabla alikuwa katibu wa yanga pia alishafanya kazi na plan international pale makao makuu baada ya kurudi kutoka masomoni uiengereza
Tatizo nahisi jamaa atakuwa amebebwa sababu yeye na malinzi wote ni wahaya
U
ukatibu mkuu unapatikanaje?
 
"safu ya Yanga" imekamilika TFF, Malinzi alikua Katibu Mkuu Yanga hali kadhalika Mwesiga
 
Malinzi naye alikuwa yebo yebo kabla hajaukwaa urais wa TFF. Lakini hebu tuangalie imekkaaje! hawa jamaa wote wanatoka ng'ambo ya ziwa fulani wana jamvi hii iko vipi?

Naona kuna walakini kidogo hapa:

Rais Malinzi: Yanga damu & haya damu
Katibu Mwesigwa: Yanga damu & haya damu
Mwenyekiti kamati ya ufundi: Yanga damu & haya damu

Labda ni coincidence tu.....
 
Nawapongeza TFF chini ya uongozi wa Rais Malinzi kwa uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa.
Ni matarajio ya wanasoka hapa nchini Kuwa Mwesigwa utatumia ueledi wako na uzoefu ulio nao kukuza na kuendeleza mchezo huo pendwa wa kambumbu. Hongera MWESI.

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
sasa hivi tutasema kuna ukabila
 
Back
Top Bottom