Mwenzi wako akiwa anakulambalamba hata mbele ya watu ni ishara tosha kuwa anakupenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenzi wako akiwa anakulambalamba hata mbele ya watu ni ishara tosha kuwa anakupenda

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Aug 21, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,762
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Mwenzi wako akiwa anakulambalamba hata mbele ya watu ni ishara tosha kuwa anakupenda
   
 2. K

  Kelelee Senior Member

  #2
  Aug 21, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haswaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!...mh umenikuna na hicho kiparagraph...short but to the point hehehehe
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, kawa mbwa?

  usanii mtupu!
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Au lambalamba za Azam!..ha ha
  Hapana binafsi sipendi kabisa, akiwa faragha ndo anionyeshe mambo siyo mbele za watu urembo mwingi tukiwa wawili hajui kuhudumia kiukweli..
   
 5. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  . kulambalamba nini?
   
 6. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  siku hizi ni mbaya sana watu wamekuwa waigizaji sana katika mapenzi, na mara nyingi watu kama hao wa kulambana huwa hawadumu, inaweza kutokea umemzoesha mwenzi wako, lakini ikatokea siku labda umechoka, hapo ndipo unaweza ukawa mwisho wenu, ila sio mbaya kufanya hivyo
   
 7. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umepaka asali??
   
 8. M

  Monie Member

  #8
  Aug 22, 2009
  Joined: Sep 22, 2007
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inategemea anakulmbalmba mbele ya watu gani. Kama ni mbele ya marafiki zenu sawa. lakini sio kila mahali hata mbele ya wazazi au watu wazima haileti heshima.
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Huku kulambana ni uchafu tu. Utalambaje liulimi la mwenzio? Hivi mnajua mdomo kuna bacteria kiasi gani? Yuuucckk...mambo mengine yanatia kinyaa kabisa.
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  salalaaaaaaaaaaaaaaaa hii kali mshikaji,unasema?
   
 11. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mode Fungia hiri rimjamaa, Avatar Gani hii
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Seriously dude, hebu fikiria. Mdomoni asubuhi ukiamka kunakuwa na bacteria mamilioni waliozaliana usiku kwa sababu ya kufunga mdogo. Sasa siyo kila mtu ameelimika vizuri kuhusu usafi wa kinywa. Licha hata ya kuelimika kuhusu usafi wa kinywa, hata ufanyeje mdomo ni sehemu ambayo bacteria huzaliana kwa wingi sana. Mdomoni ni sehemu ambayo makohozi hutokea. Ni sehemu ambayo mimate hutokea. Hivi kweli huoni kuwa ni kinyaa kuweka liulimi lako ndani ya mdomo wa mtu mwingine? I'm sorry but that just ain't my cup 'o tea. That's just extremely nasty. Mdomo wa binadamu mchafu sana aisee....
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahhah NN iimetulia hiyo!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Aug 22, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  You know I'm telling the truth....
   
 15. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Tatizo tunapenda kuigaiga sana,we fikiria jitu linanuka mdomo halafu eti mwaanza kulambana/kunyonyana......ptuuu(kinyaa).....lol
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Na wale wanaonyonyana kunako nao ule ni uchafu au?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Aug 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Of kozi ni uchafu! Wewe fikiria, ile sehemu among other things matumizi yake ni kutolea uchafu i.e. waste e.g. mkojo, mavi, n.k. halafu wewe unaenda kuweka ulimi wako...Pretty please huoni kama ni uchafu huo? Oh well maybe it's just me but if you look at it with a third eye you will realize how extremely nasty it is to tongue someone down in their vagina or ass or mouth or phallus. It is what it is...
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hujui mapenzi kijana.....hakuna kitu safi kama kulamba lamba sehemu sehemu za mwili wa mwenzio...acha bana tena ile lamba lamba ya asubuhi ndio yenye stimu mapenzi hayana uchafu aiseee......
  ukiona kinyaa kulamba tutakusaidia kukulambia mwenza wako.....
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  No no no noooooo hakuna uchafu nyie vipi bana?? kwanza ina afya vitamini na chlorine na sodium chloride ya kutosha.....wewe binti hupendi kulambwa kule?
  lazima utakuwa unasaidiwa aisee...nani kakuambia kunatoka uchafu kule? man dont let me down hakuna kitu saaaafi kama kula chumvi weweee nakuambia jaribu utaona ladha yake........ukitaka nitakupa tips za kushukia down thur
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  lol hii thread sikuwa nimeiona kumbe mnaua namna hii....ni hivi arifu suala la usafi wa kinywa sharti lizingatiwe kabla ya kubadilishana saliva......nakuambia kinywa kikiwa kisafi utainjoi sana....ni sawa na kule Ikulu kukipigwa sopu sopu aaaah mie huwa nahamishia makazi yangu kabisa...hunitoi kule aiseee
   
Loading...