TANZIA: Mwana JamiiForums mwenzetu Demi amefiwa na baba yake mzazi

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
14,950
26,049
Habarini za mapumziko ya Jumapili

Kama kichwa kinavyojieleza mwenzetu, rafiki, shost demi amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro mjini!

Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi kwa familia yenu.

POLE SANA RAFIKI !
 
habarini za mapumziko ya jumapili

Kama kichwa kinavyojieleza mwenzetu ,rafiki ,shost ,demi amefiwa na baba yake mzazi ! msiba upo morogoro mjini !

Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi kwa familia yenu ,
POLE SANA RAFIKI !
RIP baba mkwe .mungu akutie subra baby demi .
 
habarini za mapumziko ya jumapili

Kama kichwa kinavyojieleza mwenzetu ,rafiki ,shost ,demi amefiwa na baba yake mzazi ! msiba upo morogoro mjini !

Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi kwa familia yenu ,
POLE SANA RAFIKI !
Wewe utakuepo msibani???
 
Back
Top Bottom