Mwenzenu Urais Basi Tena!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenzenu Urais Basi Tena!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Safari_ni_Safari, Oct 5, 2010.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Octoba 31 itaonyesha picha kamili,asante kwa treller
   
 3. S

  SUWI JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huo ndo uungwana asiyekubali kushindwa si mshindani, JITIHADA ZOOOTE LAKINI WAPI, wasanii nao wametumika lakini wapi!!! Kapumzike JK byeeee!!!!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280

  baada ya matokeo tuje hapa hapa na topic zetu jamani tusikimbiane hata kidogo
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  kiherehere cha ccm kunitaka nigombee ndo nakutana na kiranga komo huko mikoani!!!!
  ah!
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tupo hapa Muda wote
   
 7. m

  matawi JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi huyu atarudi bagamoyo au ni kule Irente kwa Bwana kapa?
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Kilichobakia kwa JK ni kuwashukuru watanzania kwa kumwamini na kumpa ushindi wa Tsunami mwaka 2005 na ya kuwa anakiri ameshindwa kukidhi mahitaji ya watanzania walio wengi.

  Hilo tu ndilo litamrudisha kwenye chati za viongozi maridadi wa zamani
   
 9. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wandugu kilichovaliwa mkono wa kushoto ni kitu gani?
   
 10. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ha ha haaa, na mimi nilikuwa nashangaa hiyo kitu. Labda ndo sehemu ya ulinzi unaotolewa na Sheik Yahya. Bangili ya aina hiyo huwa wanavaa majambazi, ambao huwa wanapewa kama sehemu ya ulinzi wao. Kwa hiyo si ajabu kwamba hata Kikwete huo ndo ulinzi wake.
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mimi ni mgeni hata sijui kavaa nini!!
   
 12. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muulize Shekhe Yahya yakhe...mambo ya ulinzi maalumu!
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  HIVI HIYO PETE NA HILO RINGI LA MKONO WA KUSHOTO NI UREMBO AMA NDIO ULINZI ALIOPEWA NA SHEHE yAHAYA
   
 14. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jamani mwacheni mzee wa watu apumzike kidogo,mambo aliyonayo sasa ni mengi na yanamzidi ndio maana mnamuona hata vitu ambavyo hamjawahi kumuona akivivaa kabla.
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kwa nini unadhani watu watakimbia?
   
 16. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hiyo pete ni sawa na hii:

  [​IMG]
   
 17. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ulinzi wa kabila hii ukikutana na ile nguvu ya Jina lipitalo majina yote husababisha kama yaliyotokea pale jangwani kwenye ufunguzi wa kampeni,shauri yake!!!!!
   
 18. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  "Hawa Mafisadi wataniua, mimi nilikataa wao wakanilazimisha ili niendelee kutetea maslahi yao, ngoja niendelee kujaribu nikizidiwa naenda kujificha visiwani kule aliko mshikaji Balali"
   
 19. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  No comments
   
 20. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
Loading...