Mwenzenu simuelewi zitto, wadau niambieni huyu bado ni shujaa wa chadema

mwalimumpole

Member
Oct 17, 2010
48
0
WADAU NINA MASHAKA MAKUBWA NA UADILIFU WA ZITTO KWA KAMBI YA CHADEMa, matendo na matamushi yake yananitia mashaka kama bado anaimba wimbo wa ukombozi wa tanzania kwa sauti ya Chadema.
 
Back
Top Bottom