Haya achana na nyerere twende kwa Mandela..maana wew nyerere humpendiNyerere ana kipi kinachoigwa?
Nyerere ana kipi kinachoigwa?
AU hata Kwame...Haya achana na nyerere twende kwa Mandela..maana wew nyerere humpendi
Alianzisha CCM unyoishabikia leo
Nyerere ana kipi kinachoigwa?
Nyerere ana kipi kinachoigwa?
Kwa kuacha kwao kuiga ndo kunawafanya wasikumbukwe....Nyerere ana kipi kinachoigwa?
Ni nyie tu ndio amjui kipi choigwa. Hata mkitendewa vizuri vingi hamvioni.Nyerere ana kipi kinachoigwa?
1. walijitahidi kuhubiri na kusimamia wanachoamini kutoka ndani ya mioyo yao kikweli kweli.Kwa nin viongozi kama Mandela,Nyerere na wengineo wanakua mfano wa kuigwa duniani kote tofauti na viongozi wa sasa?..walikua na nini so special ukilinganisha na hawa viongozi wa sasa??naomba mnijuze wajuzi wa mambo.
Nyerere ana kipi kinachoigwa?
Nyerere ana kipi kinachoigwa?
Haya achana na nyerere twende kwa Mandela..maana wew nyerere humpendi
Mwanzilishi wa chama la majambazi.
1. walijitahidi kuhubiri na kusimamia wanachoamini kutoka ndani ya mioyo yao kikweli kweli.
2. Waliepuka kufanya siasa za kinafiki.
3. Hawakufanya siasa ili kujipatia mali au kutafuta sifa bali kwa lengo la kuletea hadhi mataifa yao na watu wake.
Kwa sasa wanasiasa wengi wanafiki, watafuta sifa, wasaka mali na ikitokea mmoja muadilifu atahujumiwa kwa kuzushiwa propaganda au hata kuuawa. ndo hivyo tu mkuu.