Mwenzenu sielewi ni kwanini?

Kafuta

Senior Member
Oct 15, 2010
119
29
Kwa nin viongozi kama Mandela,Nyerere na wengineo wanakua mfano wa kuigwa duniani kote tofauti na viongozi wa sasa?..walikua na nini so special ukilinganisha na hawa viongozi wa sasa??naomba mnijuze wajuzi wa mambo.
 
Ni mtazamo pamoja na maono na vile vile uwezo wa kuhandle mambo. Pia kupembua na kuona mbali zaidi ndio maana wanasifiwa na sio hawa wa kizazi kipya.
 
Kwa nin viongozi kama Mandela,Nyerere na wengineo wanakua mfano wa kuigwa duniani kote tofauti na viongozi wa sasa?..walikua na nini so special ukilinganisha na hawa viongozi wa sasa??naomba mnijuze wajuzi wa mambo.
1. walijitahidi kuhubiri na kusimamia wanachoamini kutoka ndani ya mioyo yao kikweli kweli.

2. Waliepuka kufanya siasa za kinafiki.

3. Hawakufanya siasa ili kujipatia mali au kutafuta sifa bali kwa lengo la kuletea hadhi mataifa yao na watu wake.

Kwa sasa wanasiasa wengi wanafiki, watafuta sifa, wasaka mali na ikitokea mmoja muadilifu atahujumiwa kwa kuzushiwa propaganda au hata kuuawa. ndo hivyo tu mkuu.
 
Nyerere ana kipi kinachoigwa?

Katika marais wote wa Tz, naona Kikwete yupo juu, Mtu kama Nyerere anashindwa kujenga nyumba yake ya kuishi, unategemea mfanyakazi wa kawaida ataweza kujenga kweli. kama hataweza kujenga unatarajia aishi kama Nyani? Sera za kuambukizana umaskini tu ndio tutakachoiga,
 
Haya achana na nyerere twende kwa Mandela..maana wew nyerere humpendi

Nimekuuliza "Nyerere ana kipi kinachoigwa?" unasema ooh "wewe humpendi". Wewe unaempenda nakuuliza ana kipi kinachoigwa?

Ukitaka kumuiga Mandela, kwanza anza kwa kufungwa miaka 26.
 
1. walijitahidi kuhubiri na kusimamia wanachoamini kutoka ndani ya mioyo yao kikweli kweli.

2. Waliepuka kufanya siasa za kinafiki.

3. Hawakufanya siasa ili kujipatia mali au kutafuta sifa bali kwa lengo la kuletea hadhi mataifa yao na watu wake.

Kwa sasa wanasiasa wengi wanafiki, watafuta sifa, wasaka mali na ikitokea mmoja muadilifu atahujumiwa kwa kuzushiwa propaganda au hata kuuawa. ndo hivyo tu mkuu.

Umeleta porojo badala ya kuonesha mfano wao unaoigwa, na nani anaeiga?
 
Back
Top Bottom