Mwenzenu nimeshinda $450,000 katika Fifa Xmass Promo.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Wadau, asubuhi ya Jumapili mida ya saa3 asubuhi nimepokea sms kutoka namba +2347031639276.
Sms yenyewe hii hapa chini;

CONGRATULATIONS, Your phone number has won you $450,000 in the FIFA XMASS PROMO, for info and claims call Mrs. Clara +27789529419. Email: fifaoffer@live.com

Cha ajabu sijashindana shindalo lolote lakini nimeibuka mshindi wa kitita chote hicho(Bahati iliyoje).

Mwenzenu umaskini ndio bai bai.


UPDATE:
Baada ya kuwa siliana nao kwa email nikiwauliza ni hatua gani nifuate ili nipewe 'pesa zangu'
haya ndiyo majibu waliyonitumia.

FIFA 2012 VERIFICATION/PAYMENT RELEASE FORM


Ref:/34085746305872/34
VERIFICATION NO:TZN
6KTG-400019001
Batch: 293/34/3473

Good to hear from you regarding the FIFA MOBILE PROMO.My names is Mrs Clara Moore,I am the Cash Officer assigned to winners from your region of the mobile Promotion.

As reflected in the sms sent to your cell phone,this promo has been on for two weeks till date.This year FIFA Promo has been designed to give out lump sums to individuals and corporate winners as a part of advert of our FIFA PROMO.

Mobile Phone number listed on the world phone book from different countries were picked at random from different network during the course of the fifa 2012 PROMO.

Your mobile number was picked by our computer NETWORKING system, which has been programmed for this random selection. This has eventually qualified you for the lump sum Amount of (4$50,000.00).



Congratulations once more from all members and staff's of FIFA FREE PROMO
Note:All information concerning the facilitation of your claims will commence as soon as you fill and submit the FIFA PAYMENT RELEASE FORM attached to this message.


Note: Your winning mobile number was tagged to your winning verification number
VERIFICATION NO: PNG-435-663-6KTG-400019001
BATCH NO: 763W/OUDB/KIA/90674998


Note: that your funds have been insured and no deductions of any kind can be made on your funds due to the following reasons as follows below

(1) Funds has been Insured to an High Insurance policy that make it difficult to deduct from.
(2) The British Government stated in The BHC Law book 45-1 stanza 12, That winning funds should be remitted In exact value of amount won to winner.


[FONT=Segoe UI, Tahoma, Verdana, Arial, sans-serif]YOUR WON PRIZE IS CONSISTING OF A SEALED WORLD BANK CHEQUE OF $450,000.00 ISSUED OUT IN YOUR NAME [ WHICH CAN BE CASHED AT ANY RECOGNISE[FONT=Segoe UI, Tahoma, Verdana, Arial, sans-serif] BANK IN YOUR COUNTRY ][/FONT][/FONT][FONT=Segoe UI, Tahoma, Verdana, Arial, sans-serif][/FONT]

VERIFICATION/PAYMENT RELEASE FORM-----
FORM NO. AZER/67589/PT22539.

SECTION A

1.Full Name of Beneficiary:.......
2.Residential Address:....
3.Winning mobile number:......
4.Amount won:......
5.Contact Telephone:..........
6.Fax Number:...............
7.Occupation:................
8.Sex:..........................
9.Age:...........................
10.Marital Status:.................
11.Nationality:............
12.State/City:..............
13.Country:............
14.Next of Kin Full Names:..................
15.Mobile Phone Number Of Next of Kin:...................
16.Relationship between You and Next Kin:.........

17.A scan copy of your identification.......




SECTION B

PLEASE INDICATE THE OPTION YOU WILL PREFER TO GET YOUR WINNINGS.

OPTION 1. COURIER SERVICE. { }



OPTION 3. TRAVELING TO UNITED KINGDOM OUT YOUR OWN EXPENSE. ( )



DECLARATION
I ______________________________hereby confirm that all the information's given above is to the best of my knowledge true and correct. Any tempering or falsification of the above data rendered in this claims null and avoid. You are to sign below


______________________________
Signature and date.


Good luck and congratulations once again. Please send your response within the next 48hrs
Sincerely,
Mrs Clara.












 
Wadau, asubuhi ya Jumapili mida ya saa3 asubuhi nimepokea sms kutoka namba +2347031639276.
Sms yenyewe hii hapa chini;

CONGRATULATIONS, Your phone number has won you $450,000 in the FIFA XMASS PROMO, for info and claims call Mrs. Clara +27789529419. Email: fifaoffer@live.com

Cha ajabu sijashindana shindalo lolote lakini nimeibuka mshindi wa kitita chote hicho(Bahati iliyoje).

Mwenzenu umaskini ndio bai bai.
hahaha mkuu usipuuzie.jaribu ku hook na huyo mrs. clara unaweza kushinda na vingine at your own risk.
 
asikudanganye mtu. hao watu ni matapeli. niliwahi kutumiwa a similar thing some three years ago baadae wakataka niwatumie akaunti namba yangu na full name halafu nilipe dollar 5000 kama processing fee ya zawadi yangu.nilipo waambia wakate hukohuko ndio ikawa mwisho wa mawasiliano na wao.na ukiwapa akaunti namba yako na jina lako kamili hapo ndio utashangaa ya mussa. do not try.
 
Angalia wasishinde wao ukaishia kulia. Tamaa mbele mauti nyuma mwanangu Ndibalema. We mushaija ushomile usikubali wakufwanyie mambo ya kijinga. U watell that wewe ni profwesa wa finance and then uwaabuse na kuwareprimand kuwa wewe ni much know kuliko wawo na baba zawo.
 
Angalia wasishinde wao ukaishia kulia. Tamaa mbele mauti nyuma mwanangu Ndibalema. We mushaija ushomile usikubali wakufwanyie mambo ya kijinga. U watell that wewe ni profwesa wa finance and then uwaabuse na kuwareprimand kuwa wewe ni much know kuliko wawo na baba zawo.
infwact hawatoniweza.
Hata mdogo wangua anyesomea udaktari kule urusi na yeye amenishauri kuwa niachane na hao matapeli.
 
0kizipata nijulishe nikuongeze 45,000 za tz kama nauli ya fastjet .
 
ninavyokwambia hapa nimeshamtumia Email Mrs. clara nasubiria majibu yake.

hii ishu wanakwambia lazima iwe siri mpaka utakapo komboa zawadi yako na ofisi zao zipo London eti,maelezo kibao kinachotafutwa ni hela zako tu hamna jipya mkuu lakini endelea kuwasiliana nao uone technique zao badae utupe feedback
 
Pole. "There is no free lunch" !! hao ni matapeli na ukiwapa contact zako watakuwa wanakusumbua
 
matapeli wanaotapeli kishamba wakijaribu kutapeli washamba
 
kitakachofuata utaambiwa tuma ela ili upokee ela yako na katangulia kukwambia hiyo ela haiwezi punguzwa so ili kupata hiyo ela itabidi ugaramie costs za kuihamishia kwako maana inabidi ihame bile kupunguzwa na hapo ndipo utaliwa.
Hizo msg zina revolve rafiki yangu jana kapokea moja eti simu yake imeshinda USD 75,000,000.
 
Mimi mara nyingi nemeshinda hizo lottery lakini sitilii maanani najua ni matapeli tu
Utashindaje shindano ambalo hujawahi kushiriki?
 
Back
Top Bottom