Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

eh jamani kila mtu apendacho ndo dawa yake, mie nikiona mwanamume ambaye akivaa suruali inajikunyata hapa katikati ya miguu huwa naishiwa nguvu, hata aje na brifukesi ya manoti wala simtamani maana najihoji nitatoka nae vipi njiani!!! huwa nahisi hata vipumbu vyake vimesinyaa kwa kubanwa na suruali khaaa maumbile mengine mtihani wallah!
Muhanga leo umeamkia mitaa ya kwetu kweli?
 
Mwana f.a unaoa lini?
bado yupo yupo kwanza akitazama 'mazimola' yatakayomzingua zaidi ndo atayaweka ndani , sipati picha atakavyokuwa anamtembeza huyo dada bila nguo ili tu ayaone mamichirizi yake, ila hajakutana na yale ya mtu mweupeee halafu michirizi myekundu au myeusi utadhani batiki iliyokosewa kuchanganywa rangi!!!
 
tobaaa..
 
Muhanga leo umeamkia mitaa ya kwetu kweli?
heheeee haswaa wangu nimeamkia kule kule, il foleni ikanizingua sana asbh akili ikaingia wazimu ndo huu uuonao hapa!!! ila hilo la kusinyaa suruali lilnatoka rohoni hasa yaani huwa haishiwa pozi nikiona mtu wa design hiyo ananihitaji kutoka nae huwa naenda toilet kucheka kwanza !!
 
bado yupo yupo kwanza akitazama 'mazimola' yatakayomzingua zaidi ndo atayaweka ndani , sipati picha atakavyokuwa anamtembeza huyo dada bila nguo ili tu ayaone mamichirizi yake, ila hajakutana na yale ya mtu mweupeee halafu michirizi myekundu au myeusi utadhani batiki iliyokosewa kuchanganywa rangi!!!

Nakimbia hii thread kwa sababu ya muhanga!
 
bado yupo yupo kwanza akitazama 'mazimola' yatakayomzingua zaidi ndo atayaweka ndani , sipati picha atakavyokuwa anamtembeza huyo dada bila nguo ili tu ayaone mamichirizi yake, ila hajakutana na yale ya mtu mweupeee halafu michirizi myekundu au myeusi utadhani batiki iliyokosewa kuchanganywa rangi!!!

muhanga...muhanga..mweh umenimaliza mbavu zangu, nimecheka mpaka machozi jamani, mbona una viroja sana wewe.
 
heheeee haswaa wangu nimeamkia kule kule, il foleni ikanizingua sana asbh akili ikaingia wazimu ndo huu uuonao hapa!!! ila hilo la kusinyaa suruali lilnatoka rohoni hasa yaani huwa haishiwa pozi nikiona mtu wa design hiyo ananihitaji kutoka nae huwa naenda toilet kucheka kwanza !!

Umetaja wanaokukera, mbona hujasema unaopendezewa nao!
 
heheeee haswaa wangu nimeamkia kule kule, il foleni ikanizingua sana asbh akili ikaingia wazimu ndo huu uuonao hapa!!! ila hilo la kusinyaa suruali lilnatoka rohoni hasa yaani huwa haishiwa pozi nikiona mtu wa design hiyo ananihitaji kutoka nae huwa naenda toilet kucheka kwanza !!

We unapenda suruali zitune siyo? Umetosheka na watoto ulio nao?
 
eh jamani kila mtu apendacho ndo dawa yake, mie nikiona mwanamume ambaye akivaa suruali inajikunyata hapa katikati ya miguu huwa naishiwa nguvu, hata aje na brifukesi ya manoti wala simtamani maana najihoji nitatoka nae vipi njiani!!! huwa nahisi hata vipumbu vyake vimesinyaa kwa kubanwa na suruali khaaa maumbile mengine mtihani wallah!
hhhaaaaa
kumbe wewe ni SHORI aka SHE!!
 
muhanga...muhanga..mweh umenimaliza mbavu zangu, nimecheka mpaka machozi jamani, mbona una viroja sana wewe.

Babra hebu nisaidie anayozungumzia Laligeni ni strechi marksi au zipi tena????
 
ndio hizo hizo!!, hebu cheki hapa kwanza hili somo:
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=j8wifv7ytCo[/ame]

za tangu jana??,
umeadimika kama miguu ya nyoka!.
 
Umetaka wanaokukera, mbona hujasema unaopendezewa nao!

oh masaki za siku tele kaka, mie huwa navutiwa na wanaume warefu, wasio na kitambi, wasio na madevu, weusi au maji ya kunde, wasio kunywa mipombe ovyo, anayejua kutake trouble ya kunisikiliza na kunielewa kabla haja jump kwenye conclusion etc. etc, hope umeget picture of what i really want
 
ndio hizo hizo!!
za tangu jana??,
umeadimika kama miguu ya nyoka!.

nzuri GP, afadhali sikuadimika ka jasho la kuku angalau...

dah ya mamistari nayachukia jamani lol!!!! kweli kipenda roho hula nyama mbichi....
 
We unapenda suruali zitune siyo? Umetosheka na watoto ulio nao?
suruali sio itune sana, no no itapitiliza, iwe normal lakini pia isisinyae kama hao nilowataja hapo juu! biashara ya watoto kaka mie nshaimaliza kitambo nakula raha kwa raha zangu tu siku hizi
 
oh masaki za siku tele kaka, mie huwa navutiwa na wanaume warefu, wasio na kitambi, wasio na madevu, weusi au maji ya kunde, wasio kunywa mipombe ovyo, anayejua kutake trouble ya kunisikiliza na kunielewa kabla haja jump kwenye conclusion etc. etc, hope umeget picture of what i really want

Za miaka nzuri tu, tupo tunasukuma gurudumu la maendeleo. Hapo nimekupata! Ngoja sasa warume ndago humu wajichuguze kama wanavyo hivyo vigezo, usishange inbox yako ya PM ikajaa vijimeseji sasa hivi! :)
 
Back
Top Bottom