Mwenzenu napenda sana hii..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenzenu napenda sana hii.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sajenti, Jan 14, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wana-jf kwanza niwatake radhi wale ambao wanaweza kuona kama nimewakwaza na hili jambo lakini kiukweli kabisa nasema kwa nia njema tu ukizingatia jf ni mahali pa kuzungumza mambo kwa uwazi.

  Mi huwa nachanganyikiwa kabisa ninapomuona mwanamke au msichana ana ile mistari/michirizi kwenye miguu yake.Kuanzia sehemu za mapajani kwa nyuma ya miguu kwa kweli sijui nisemeje lakini ukweli ndio huo. Najua kila mwanaume huvutiwa na chake wengine makalio makubwa, wengine miguu ya chupa ya bia, wengine matiti makubwa au madogo, wengine lips nk.

  Huenda hili hata kwa akina dada lipo kama ambavyo siku moja pretty alisema yeye hupenda mwanaume mwenye kifua kipana na wengine watasema wanasema wanapenda wanaume wenye vidole gumba virefu...........!!
   
 2. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Utakuwa unashabikia sana vimini wewe! Sasa kwa wavaa suruali na sketi ndefu utaonaje hiyo michilizi ndugu yangu? Nakumbuka hata mwana FA aligusia hiyo michilizi kwenye "mimi na mabinti damu damu, sijui ina nini hiyo!" Kuna michilizi mingine imekomaa mpaka inatisha, utayakuta makubwaaaa, meusiiii, mengine yameanzia mikononi, sjui unasemaje hapo Lalingeni, ndo unakufa kabisaaa au hayo huyamaind?
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ahaaaaa, hiyo tunaitaga MICHIRIZI YA UTAMU!!
  hiyo ORIJINO inapatikana nyuma ya goto ONLY, ukiona kifuani, mikononi au makalioni ujue hiyo nikutokana na EXPANSION ya mwili yaani mwili umenenepa then ukipungua kiaina ndio hayo mamichirizi ambayo hayana mvuto kabisa!.
   
 4. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Eeh bwana wewe unatoka kagera nini?? maana kule mwanamke/msichana mwenye mazimola ni dili sana
   
 5. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Eeh bwana wewe unatoka kagera nini?? maana kule mwanamke/msichana mwenye mazimola ni dili sana
   
 6. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Udhaifu mwingine huu...kazi kweli..nasikia wengine hupenda mabinti wanovaa viatu kuanzia saizi 9!!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Jan 14, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Umeniacha hapa mkuu.
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mimi jamani mwanmke awe mrefu!!!!!!!!!!!!! baaaaasi. hata awe na sura mbaya kama zimwi, siangali!!!!!!!!

  sasa akiwa mrefu halafu anataka kunimaliza kabisa kama emsiilema, aniachie yale manywele, asinyoe!! hapo hata myumba nitajenga!!!!!!!
   
 9. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160

  Hahahahahah! Umenikumbusha stori zetu za vijiweni, kuna mtu aliwahi kusema...''Mimi mwanamke awe tu anajua kuongea Kiingredha kizuri, hata kama ana t'ako moja kubwa, moja dogo sitajali!.............!!!''
   
 10. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh! Umenikumbusha mazimola! Hujatulia wewe!!
   
 11. m

  muhanga JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  eh jamani kila mtu apendacho ndo dawa yake, mie nikiona mwanamume ambaye akivaa suruali inajikunyata hapa katikati ya miguu huwa naishiwa nguvu, hata aje na brifukesi ya manoti wala simtamani maana najihoji nitatoka nae vipi njiani!!! huwa nahisi hata vipumbu vyake vimesinyaa kwa kubanwa na suruali khaaa maumbile mengine mtihani wallah!
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,024
  Trophy Points: 280
  Mwana f.a unaoa lini?
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  no wonder unaishiliaga kwa vi sis du....
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,503
  Trophy Points: 280
  Muhanga leo umeamkia mitaa ya kwetu kweli?
   
 15. m

  muhanga JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  bado yupo yupo kwanza akitazama 'mazimola' yatakayomzingua zaidi ndo atayaweka ndani , sipati picha atakavyokuwa anamtembeza huyo dada bila nguo ili tu ayaone mamichirizi yake, ila hajakutana na yale ya mtu mweupeee halafu michirizi myekundu au myeusi utadhani batiki iliyokosewa kuchanganywa rangi!!!
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  tobaaa..
   
 17. m

  muhanga JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  heheeee haswaa wangu nimeamkia kule kule, il foleni ikanizingua sana asbh akili ikaingia wazimu ndo huu uuonao hapa!!! ila hilo la kusinyaa suruali lilnatoka rohoni hasa yaani huwa haishiwa pozi nikiona mtu wa design hiyo ananihitaji kutoka nae huwa naenda toilet kucheka kwanza !!
   
 18. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hujanisoma vizuri, nimemnukuu mtu hapo, sio mimi mwenye ugonjwa huo wa kupenda wanawake wanaoongea Kiingredha kizuri!
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,503
  Trophy Points: 280
  Nakimbia hii thread kwa sababu ya muhanga!
   
 20. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  muhanga...muhanga..mweh umenimaliza mbavu zangu, nimecheka mpaka machozi jamani, mbona una viroja sana wewe.
   
Loading...