Mwenzangu anakuwa na shida ya kukaukiwa maji ukeni tena kwa haraka

DeWiz

New Member
Sep 4, 2021
1
45
Habari za asubuhi bila shaka MUNGU ni Mwema na anazidi kuwa bariki.

Nina jambo 1 naomba mnisaidie jamani kwa wanawake naomba mnisaidie kwa wifi yenu na kwa wanaume naomba mnisaidie nifanye nini ili shemeji yenu awe sawa.

Mimi ni kijana nina miaka 25 na nina mpenzi wangu ana miaka 21 ila ana tatizo sijui ni shida huwa tukiwa katika faragha au tunapokuwa tunahudumiana kitandani mwenzangu anakuwa na shida ya kukaukiwa maji ukeni tena kwa haraka sana yaani utakuta maji yanakuwa mengi wakati wa bao la 1 baada ya hapo bao la 2 na kuendelea hapati maji kabisa au yanakuwa machache mno na hata kuenjoy haenjoy tena zaidi ya kuumia na analalamika kama kuenjoy anaenjoy bao la 1 tu ambalo ndo linakuwa na maji maji mengi la bao la 2 na kuendelea ni maumivu tu tutumie kilainishi kama mate au mafuta ya nazi

Sasa swali je hili ni tatizo la kiafya au kitaalum au nini na kama ni tatizo suluhisho lake ni nini naombeni msaada tafadhali MUNGU azidi kuwa bariki 🙏 karibuni
 

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
271
250
muulize kama anatumia dawa za uzazi wa mpango, kama sindano au vidonge.then anzia hapo kutafuta suluhu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom