Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

Mungu aliiepusha Tanzania mikononi mwa dubwasha lenye USHAMBA wa kula mahindi barabarani na kununua jogoo. Nani anataka ule ujinga urudi tena?

Rais alikuwa na mdomo mchafu kama choo cha sokoni kutwa kuropoka kwenye majukwaa, nani anataka takataka ile tena? Go to hell as well

Watu km nyie hata enzi za Nyerere mlikuwepo mlikuwa mnapenda sana kula left overs za wazungu…Nyerere alipokuwa anataka kutupa uhuru mlimuona mchawi mlikuwa mko tayari kumlipua kisa viporo…ila aliwapuuza sababu alijua elimu yenu na ufahamu wenu ni mdogo hakukata tamaa akasonga mbele…

Ila Magu alikuwa anadetect ignorant people from a far hakujaliwa kuvumilia upumbavu aliwapunish…
 
Ni misukule tu kama wewe ndiyo inamuabudu Dikteta wa Chato

Na watu km nyie ndio sumu ya maendeleo Tanzania…sijui tuwafanyeje…nenda Chato kama ulivyosema ukamtukane Magu kwa kaburi lake….majibu utakayopata yatakuwa mfano kwa watanzania wengine km wewe, wajifunze kutoka kwako…utakuwa mkombozi wa Taifa letu na shujaa
 
Watu km nyie hata enzi za Nyerere mlikuwepo mlikuwa mnapenda sana kula left overs za wazungu…Nyerere alipokuwa anataka kutupa uhuru mlimuona mchawi mlikuwa mko tayari kumlipua kisa viporo…ila aliwapuuza sababu alijua elimu yenu na ufahamu wenu ni mdogo hakukata tamaa akasonga mbele…

Ila Magu alikuwa anadetect ignorant people from a far hakujaliwa kuvumilia upumbavu aliwapunish…
Aliyoyafanya Magufuli ni ushetani mtupu ndiyo maana Mungu kamtupa jehanamu!! Angekuwa ana akili kama unavyodai asinge Foji PhD ya maganda ya korosho
 
Na watu km nyie ndio sumu ya maendeleo Tanzania…sijui tuwafanyeje…nenda Chato kama ulivyosema ukamtukane Magu kwa kaburi lake….majibu utakayopata yatakuwa mfano kwa watanzania wengine km wewe, wajifunze kutoka kwako…utakuwa mkombozi wa Taifa letu na shujaa
Nakushangaa unamtetea mtu ambaye mwenyewe alikiri kuwa ni Kichaa na Anthony Diallo akatukumbusha kuwa kuwa nchi yetu isije kutuletea Kichaa mwingine tena.

Kama unamtetea Kichaa wewe Micho ni msukule tu na chakula chako ni unga. Wanaofuga misukule wakifa misukule yao inasumbua kama wewe na mtoa mada mnavyotusumbua na thread za HOVYO
 
Aliyoyafanya Magufuli ni ushetani mtupu ndiyo maana Mungu kamtupa jehanamu!! Angekuwa ana akili kama unavyodai asinge Foji PhD ya maganda ya korosho

Aliekwambia kuna Jehanamu nani ulishawahi kwenda..

Yaani alipoingia maabara nakupima makinikia kujua kuna madini ya aina gani na pia kuwaumbua wazungu alipopima corona kwenye papai hio ni PHD tosha, certificate wakae nazo chuo sisi wana nchi tumempa PHD wenyewe…
 
Hicho ndiyo kichaa sasa. Umeambiwa mashine inapima sampuli za chembechembe za binadamu, wewe unapeleka mapapai, na bado unategemea ikupe majibu?? Hiyo ni matope siyo akili
 
Mama lazma mumfurahie sababu ya per diem mnazojiandikia daily! Misafari na seminar za upigaji hapo lazma mama ashabikiwe tu!

Na uzuri sio mfuatiliaji wa weledi wa wafanyakazi!
Nahisi na expatriates lazima wampigie kura 2025. Hongera mama wazawa wenye sifa wako mtaani unaongeza muda wa vibali vya kazi kwa wageni kutoka 5 years to 8 years..
 
tofautisha jpm na uongozi waleo alipelekewa uwongo kuhusu ugaidi akakataa alijua anavyazo mapato leo tunaombaomba na mwenyekiti ndani ,harafu watu wanakuja natakwimu zawanachama wengi digitali
 
Aliekwambia kuna Jehanamu nani ulishawahi kwenda..

Yaani alipoingia maabara nakupima makinikia kujua kuna madini ya aina gani na pia kuwaumbua wazungu alipopima corona kwenye papai hio ni PHD tosha, certificate wakae nazo chuo sisi wana nchi tumempa PHD wenyewe…
Curiosity killed the cat 😂
 
Uncle Magu..ooh Uncle Magu.

Hivi kifo hakina kukata rufaa kweli wadau?

Sasa hivi mtaani hatuna hata matumaini ya kupata maendeleo. Wakati wa JPM tuliona maendeleo yanatusogelea Kila Kona. Sasa hivi tupo tu.
Poleni sana
 
Yaani we wacha tu,tumerudi kulekule tulikotoka, rushwa imeanza kuota tena mizizi, tuseme ukweli sasa huduma zimekuwa ghali na kama huna kitu mkononi hakuna atakuita na kukuuliza shida yako, utaangaliwa tu pengine uambiwe nenda kule na huku.

Na ukitaka kujua angalia kwenye mambo ya passport hapa utaweza kuona ni kwa kiasi gani tumerudi tulikotoka.

Unahitaji pasi ndani ya siku basi weka laki tano unaletewa nyumbani, huna utaambiwe ulete viapo na makaburasha ya bibi yako babu yako na hata wale usio wakumbuka na kama haitoshi lete hati ya kiapo na hapo unapigwa kalenda, migration wamecharuka, Kitu ambacho wakati wa Magu ni jambo la siku mbili tu, jaza fomu weka picha kitambulisho cha Utaifa umemaliza kazi siku ya piili unapokea pasi yako.

Mwenyezi Mungu ametupa somo ambalo inafaa turudi nyuma na kumtaka msamaha,hakuna kama magufuli na dalili sizioni ,ni lazima tuombe tena atupatie kama yey,ye. Vyombo vilivyopo sasa ni vya kusukumana ni vile vya ukimwaga mboga namwaga ugali, wanaogopana, wanalindana , wakati wake akipata fununu tu anafuatilia kiaina siku ya pili unasikia jamaa hana kazi tena mbele za watu na kama haitoshi anakupa data zote ni jinsi gani umehusika katika kuvuruga.

yapo mambo alikuwa na kasoro ila sio yeye ni wale vitimba kwiri wanaotaka sifa na kujipitisha na alikuwa hata hao akiwapatia nafasi huwalipuwa tumeona akina makonda na wengine walikuwa wapo kwenye line zake, tuseme Nchi ilikaa sawa katika utowaji haki kwa kila raia haswa wale aliowaita wanyonge. Na wanaovuruga bado wapo na ndio hawa wanaopandikiza kesi za uongo, kubambikiza ndio wanazidi kuichafua nchi wakiamini wanalinda maslahi yao.

Naamini dua itaitikiwa na kupata mshika gongo mwengine.
God forbid 😡
 
Baba uzi wako tumeuelewa sana ila tunaogopa kurudia matapishi yetu, wacha tuumie kimoyo moyo na kuendelea kumtukana mzee humu jukwaani ili kuonesha misimano yetu ya awali ilhali moyoni tunamkumbuka.
 
Jiwe the murderer
Jiwe the liar
Jiwe the saddist
Jiwe the manipulator
Jiwe full of hatred

Mtu anawaambia wananchi kuwa wakichagua mpinzani haleti maji, huyo naye unamuona raisi mzuri?

Mtu anawaambia wakurugenzi kuwa anawapa mishahara, marupurupu etc halafu watangaze mpinzani kushinda, unamuona mtu wa hivi kama rais mzuri?
 
Jiwe the murderer
Jiwe the liar
Jiwe the saddist
Jiwe the manipulator
Jiwe full of hatred

Mtu anawaambia wananchi kuwa wakichagua mpinzani haleti maji, huyo naye unamuona raisi?

Mtu anawaambia wakurugenzi kuwa anawapa mishahara, marupurupu etc halafu watangaze mpinzani kushinda?
Kuna watu hawajui maana ya Saddist, Ni mtu anaefurahia kuona mtu mwingine anateseka,
 
Back
Top Bottom