Mwenyezi Mungu ikikupendeza, tuendelee na huyu aliepo sasa

Labda ameanza kuwa katili kwa kuwa kaona hamna shukrani. Kawafutia kesi kina Mdude mkaanza kumtukana ndio maana kawaacha vijana wake waseme nyie ni magaidi
Je, hizo kesi alizofuta zilikuwa na uhalali wowote?!

Kama zilikuwa na uhalali, kwanini azifute?! Na kwavile kesi ya Mdude ilitolewa uamuzi na mahakama, ina maana Rais alitumia madaraka yake vibaya kuingilia uhuru wa mahakama na kuitaka mahakama ifute kesi iliyokuwa na uhalali kisheria?

Na kama hiyo kesi haikuwa na uhalali wowote, basi hapo hapakuwa na sababu yoyote ya kuwataka watu washukuru kwa sababu, tangia hapo kesi yenyewe haikutakiwa kuwepo!!
 
Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.

Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.

Tunaomba uanze na mhusika mkuu.

Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Mungu hujibu kila ombi tusubiri.
 
Mwenyezi MUNGU anaipenda Tanzania na anawapenda sana Watanzania..

Hawezi kukubali asilani madhila na maovu haya wanayofanyiwa watu wake yaendelee..

Tunarudi tena kati ili tuanze upya very soon Mkuu.
 
You can pray for death against your enemy. And God can grant it as long as it is legitimate!
 
Kumuombea kifo Rais ni ugaidi. Hilo ni angalizo tu.
Usijitoe ufahamu,wapi Rais ametajwa? Na wapi kifo kimetajwa? Sisi tunaomba hukumu kwa watesi wetu,kama ikimpendeza Mungu kuwaondosha kwenye uso wa dunia sisi ni nani tupingane na Mungu. Dua ziendelee tu hakuna jinsi nyingine.
 
Tatizo ni ukweli kwamba nchi huwa na mifumo ya kiusalama yenye watu wenye taarifa ambazo wengi wetu hatuzijui kwa kina.

Mzee wa watu Mbowe kafanya nini yarabi.
Lkn pia mifumo yetu ya kiusalama inaweza kuwa paralyzed wakati wowote na wenye mamlaka.
 
Siasa zetu ngumu sana ushahidi wa Mbowe kufanya ugaidi wenye kuujua ni wale wanaokuwa wakifuatiilia nyendo zake.

Kama na wao ni wabambikaji wa makosa ipo siku ukweli utajulikana.
 
Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.

Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.

Tunaomba uanze na mhusika mkuu.

Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Unaomba kwa Mungu kwa lengo la kutetea ugaidi ukitegemea utajibiwa? Ugaidi hauna nafasi kwenye nchi yetu.
Shetani ushindwe, katika jina la Yesu Kristo!
 
🙄😶🙂☺😑😐😐😑Bado Ubani Mashtaka Na Usome
Sarratt ~Zubaa!! 😁😁😀😂😂😄😄
 
Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.

Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.

Tunaomba uanze na mhusika mkuu.

Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
AMEN
 
Kwani aliyepo akiondoka ndio mwenye mamlaka mwingine hatakuwepo? Alipoondoka JPM si mlifurahi mkasema Mama "anaupiga mwingine"? Sasa je? Kwa taarifu yenu, hata Raised akiwa King Musukuma, mfumo ni uleule!
 
Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake.

Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao wawafuate maana hawataki kujifunza kutokana na makosa.

Tunaomba uanze na mhusika mkuu.

Sisi hatuna wa kumlilia zaidi yako maana hatuna nguvu walizonazo.
Unaelekea kubaya.! Serikali ipo muda wote.!
 
Kaka yake mbowe ameondoka
Baba mdogo wa mbowe ameondoka

Unataka Mungu aendelee kwa gaidi mwenyewe
 
Kama akina Samora Machel na Agostino Neto wangeamua kumuachia Mungu tu bila shaka Hadi Leo Wareno wangekuwa watawala wa nchi zao.😁!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom