Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 2,976
- 2,000
SijuiSasa umeshajua Uzi ni wa Kipuuzi lakini bado umeweza Kuusoma Wote na mpaka kupata muda wa Kuujibu je, nikisema unaugua Uwendawazimu halafu pia ni Mpumbavu nitakuwa nakosea?
SijuiSasa umeshajua Uzi ni wa Kipuuzi lakini bado umeweza Kuusoma Wote na mpaka kupata muda wa Kuujibu je, nikisema unaugua Uwendawazimu halafu pia ni Mpumbavu nitakuwa nakosea?
Hajakosea, ulitakiwa uwe specific katika hayo makundi kwamba yanawahusu waliopitia chuo kikuu tu lakini wewe ume generalize alafu hutaki criticism unajiona ndugu yake na yesu?Pumbavu acha Kunipangia nini cha Kufanya na kwa Mtu aliyepita Chuo Kikuu ukiandika tu GPA anaelewa na wala hakuna haja ya kuja na hizi Shobo na Sifa zako za Kishamba na Kijuha ulizozionyesha hapa.
Nenda kwa wanajimu,wazee wa kusoma na kusafisha nyota.Sisi wenye darasa la saba hatuna GPA tunafanyaje kujua kundi letu?
Samahani sana GENTAMYCINEPumbavu acha Kunipangia nini cha Kufanya na kwa Mtu aliyepita Chuo Kikuu ukiandika tu GPA anaelewa na wala hakuna haja ya kuja na hizi Shobo na Sifa zako za Kishamba na Kijuha ulizozionyesha hapa.
Yangu hiyo #3 Mkuu. Hongera kwa hilo.Leo nimepanda dala dala bila kulipa nauli sijui niko namba ngapi
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us