Mwenyenzi Mungu yupo na Mwenyezi Mungu ndiye anayehukumu:

bluecolour

JF-Expert Member
May 20, 2013
201
98
HABARI WADAU WA JF..! Nikiwa Kama Mdau Wa Mtandao Huu Wa Great Thinkers Nimeona Nitupie Wazo Ili Tuwekane Sawa: Leo Nimemsikia X-kocha Msaidizi Wa Simba Julio Jamhuri Akiongea Kwa Uchungu Juu Hali Yambo Yanayoendele Klabuni Hapo Ikiwamo Kuondolewa Kimizengwe Klabuni Hapo...! Kaongea Mengi Ya Msingi Lakn Mimi Nimemuelewa Zaidi Alipo Sema Kaondolewa Yeye Mwenye ADVANCE DIPLOMA & LESENI YA CAF GRADE 'B' Na Kuwekwa Mtu Mwenye CERTIFICATE.....! Sasa Wadau Bila Kuangali Usimba Wala Uyanga Utumbo Kama Huu Tunajenga Tunaboa..??? Tupo Katika Kipindi Cha Kukuza Vipaji Vya Soka Lakn Hapo Hapo Hatuwapi Nafasi Makocha Wetu Wazawa Jee Lengn Letu Litafankiwa??? Kwa Wale Wanaojua Histori Ya Mpira Wa Bongo Ni ABDALLAH KIBADENI Ndie Kocha Pekee Alyeifikisha Simba Fainali Ya CAF Leo Unamwambia Hana Kiwango...?? Ni Mzungu Gani Aliyeifikisha Simba Katk Renk Ya Kibadeni..! Siku Zote Mzarau Chake Ni Mtumwa Hebu Tubadili Mawazo Tuwape Nafasi Makocha Wazawa Wana Uwezo Mkubwa Tatizo Hatuwapi Nafasi..! Pole Kaka'ngu Julio & Kibaden..
 
Mpenda Soka Eee.. Mpira wa kisasa ni Digital system... Na Mpira wa zamani ni analog System !! haviendani..... Masilahi mbele lipa dau kubwa uwe bingwa !!
 
Back
Top Bottom