MWENYEKUA NA PAST PAPERS ZA TANESCO UPANDE WA ELECTRICAL TECHNICIAN

Electrical technician unaungaunga?!? Si utaharibu electrical devices?!?

Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
 
HABARINI WANAJAMVI HUSIKA NA UZI UNAVYO SEMA NILIKUA NAOMBA AMBAYE AMESHAWAHI FANYA INTERVIEW ZA TANESCO UPANDE WA ELECTRICAL TECHNICIAN KAMA ANA PAST PAPERS ANISAIDIE NATANGULIZA SHUKURANI WAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
"Mwenyekua" ndio nini?kama hata kuandika kwa ufasaha lugha ya Kiswahili,kuna kupa shida,hiyo kazi ya umeme utaiweza kweli?!!

Hata mm nashangaa aisee Kama kuandika kiswahili hajui ndio ataweza kusoma electrical machines manuals na schematic drawings?
Kwanza kwa staili yako ww kufaulu interview yao hata moja itakupa shida.
Staili zao za interview huwa ni za kufikiri hapo kwa hapo kwa hiyo Kama ww ni mtu wa kukariri kwenye makaratasi huwezi kutoboa.
Interview zao ni very technical niliwah kufanya siku zilizopita Kama ni kilaza huwezi kubahatisha.
Na kwenye paper yao ya mchujo utakuta mnaitwa watu Kama 150 then baada ya mchujo wanabakishwa watu kama 20 au 30 kwa ajili ya kuingia kwenye oral interview.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee kwa bahati mbaya ata olevel kiswahili nilikua sikipendi nilipata F lakini number na ma physics ilikua hatari kwahiyo kiswahili na engineering hakunauhusiano kabisa kama nimeweza kuyamudu chuo nadahani hata hayo ya Tanesco nitayesha inshaallah

Watoto wa siku hizi ndio huwa mnaongopeana hvyo.
Sasa assume ndio umepata kazi mahali halaf ukateuliwa kuwa mkuu wa section itakuwaje Kama hata kujieleza kwa kiswahili ni shida.
Itakuwaje kwenye kuwasilisha reports mbalimbali pamoja na presentations?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu reports na presentation inategemea unapenda kuwasilisha kwa lugha ipi but mostly institution nyingi huwa wanapendelea kiingereza kwahiyo sinatabu yoyote hapo ila ahsante kwa ushauri mkuu naanza kupiga msasa kiswahili changu

Wasiwasi wangu ni kwamba Kama lugha yetu ya taifa tuliyozaliwa nayo inakupiga chenga itakuwaje kwenye lugha ya kigeni ya kiingereza?au unataka kusema kwamba kiingereza ndio unakijua sana kuliko lugha yetu ya asili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uvivu dogo, piga msuli na usikariri kuwa maswali yanayoulizwa ni yale yale siku zote.

Anyway chimba sana yale yote uliyofundishwa darasani bila kusahau haya:

1. Viwango vya standard Transmission & Distribution Voltage levels za Bongo
2. Power Factor Management. Nini kifanyike kuboresha p.f
3. Njia za kuboresha Earthing resistance ktk power system grounding
4. Planning za distribution system, what aspects should be considered
5. Common faults ktk O/Head Megga Voltage (MV)
6. Products being employed in O.H, MV lines kuzuia atmospheric over voltage kutokana na kasheshe ya radi
7. Ni wakati gani mashine umba (Tranfos) hufungwa parallel
8. Possible faults ktk 3Ф line, ni zipi
9. Protection ktk ufungaji wa Tranfo kwa mteja; what is necessary protection of customer point.

Mambo ni mengi sana, muda hautoshi.

Wish you the best of luck!
 
Nikweli kiongozi kiingereza ninakimudu vizuri tu kuanzia talking mpaka writings..sina hofu na hilo kabisa.
Wasiwasi wangu ni kwamba Kama lugha yetu ya taifa tuliyozaliwa nayo inakupiga chenga itakuwaje kwenye lugha ya kigeni ya kiingereza?au unataka kusema kwamba kiingereza ndio unakijua sana kuliko lugha yetu ya asili

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi naweza kukucheki DM tafadhali
Acha uvivu dogo, piga msuli na usikariri kuwa maswali yanayoulizwa ni yale yale siku zote.

Anyway chimba sana yale yote uliyofundishwa darasani bila kusahau haya:

1. Viwango vya standard Transmission & Distribution Voltage levels za Bongo
2. Power Factor Management. Nini kifanyike kuboresha p.f
3. Njia za kuboresha Earthing resistance ktk power system grounding
4. Planning za distribution system, what aspects should be considered
5. Common faults ktk O/Head Megga Voltage (MV)
6. Products being employed in O.H, MV lines kuzuia atmospheric over voltage kutokana na kasheshe ya radi
7. Ni wakati gani mashine umba (Tranfos) hufungwa parallel
8. Possible faults ktk 3Ф line, ni zipi
9. Protection ktk ufungaji wa Tranfo kwa mteja; what is necessary protection of customer point.

Mambo ni mengi sana, muda hautoshi.

Wish you the best of luck!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi you can't be perfect kila sehemu na huwezi fikia malengo au sehemu fulani kwa kujifanya we we unajua nivyema kuwashirikisha wadau ambao tayari wako kwenye hiyo industry ilikufahamu ninini kinaendelea au nini ufanye uli uweze kutimiza lengo lako ndio maana ata katika taasisi za kielimu namaanisha vyuo,shule nakadhalika watu ambao ni bora darasani huwa hawasomi pekeyao bila kuwashirikisha wengine nidhahiri kwamba nguvu ya wengi nibora kuliko ya mtu mmoja nadhani nimeeleweka kiongozi
Kama unajiamini kiingereza unakijua hapo sawa.
Na kingine Kama unajiamini ww ni kichwa kwa nini unaomba upewe juche Sasa?
Ni kwa nini hujiamini na content ulizonazo kichwani kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi you can't be perfect kila sehemu na huwezi fikia malengo au sehemu fulani kwa kujifanya we we unajua nivyema kuwashirikisha wadau ambao tayari wako kwenye hiyo industry ilikufahamu ninini kinaendelea au nini ufanye uli uweze kutimiza lengo lako ndio maana ata katika taasisi za kielimu namaanisha vyuo,shule nakadhalika watu ambao ni bora darasani huwa hawasomi pekeyao bila kuwashirikisha wengine nidhahiri kwamba nguvu ya wengi nibora kuliko ya mtu mmoja nadhani nimeeleweka kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa soma hizo contents alizokupa mkuu hapo juu.
Kwa bahati mbaya mm ni mtu wa mechanical kwa hyo sitaweza kuzama sana kwenye electrics.
Ungekuwa ni mechanical ningekushauri njia za kupita.
But kwa uzoefu wangu na ninachojua tu wanapenda kuuliza maswali general/common concepts ambavyo vingine hukuviona kwenye modules za chuo na ndio maana mwanzoni kabisa nikakwambia hawapendi mtu anayekariri sana.
Coz wakati mwingine unaweza ukaulizwa kitu ambacho ulikisoma tangu form 1 na ulishakisahau siku nyingi Sasa hapo ndio itakubidi uwe na uwezo wa kujieleza au kuelezea kitu kwa maneno yako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom