MWENYEKUA NA PAST PAPERS ZA TANESCO UPANDE WA ELECTRICAL TECHNICIAN

Shukrani sana mkuu Niko nachimba hapa baadhi ya vitu ambavyo mkuu ameniainishia hapo juu!!
Sawa soma hizo contents alizokupa mkuu hapo juu.
Kwa bahati mbaya mm ni mtu wa mechanical kwa hyo sitaweza kuzama sana kwenye electrics.
Ungekuwa ni mechanical ningekushauri njia za kupita.
But kwa uzoefu wangu na ninachojua tu wanapenda kuuliza maswali general/common concepts ambavyo vingine hukuviona kwenye modules za chuo na ndio maana mwanzoni kabisa nikakwambia hawapendi mtu anayekariri sana.
Coz wakati mwingine unaweza ukaulizwa kitu ambacho ulikisoma tangu form 1 na ulishakisahau siku nyingi Sasa hapo ndio itakubidi uwe na uwezo wa kujieleza au kuelezea kitu kwa maneno yako mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unajiamini kiingereza unakijua hapo sawa.
Na kingine Kama unajiamini ww ni kichwa kwa nini unaomba upewe juche Sasa?
Ni kwa nini hujiamini na content ulizonazo kichwani kwako?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe kama kuna vitu unavijua msaidie tu...kwani kuna ubaya gani mtu akijua mfano wa maswali watakayoulizwa ili akajiandae vizuri
 
Hakikisha umesoma power systems na electrical machines la sivyo utapata tabu sana
 
Back
Top Bottom