Mwenyekiti wa Vijana wa CCM Amtetea Diamond Platinum

Commodores

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
289
335

Mwenyekiti wa CCM James amewaambia Basata na Wizara ya Utamaduni na michezo iwe inaelimisha wasanii badala ya kuwafungia miziki yao
 
Asante Ndg Heri kwa kutambua waliowafikisha hapo mlipo maana hali ilikuwa mbaya lakini Leo hii wapo ambao hawajui wapi mlikotoka na hao wasanii, wamepewa lifti kwa dereva wanajiona ndo madereva
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom