Mwenyekiti wa UVCCM Hai, Anord Swai azikwa leo

Ray waniache

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
737
507
Amezikwa leo kwao masama mbweera kule machame
Mazishi yalihudhuriwa na kinana, waziri magembe, mwenyekiti wa uvccm taifa shaka hamdu shamka, uvccm kilimanjaro, Rc wa klm, dc wa hai, rpc wa mkoa, makatibu wa wilaya, wenyeviti wa ccm klm arusha na manyara
RIP ANORD SWAI
Marehemu kipindi cha uhai wake
9b919123c9e4b8846acf76682a8c1c18.jpg
57d5f6c85e44e4e6cb713c8a30e827eb.jpg

http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/0fdaf542bb78a6a62
6814d0a10678cda.jpg
b3ae035505b49d5c5d3cc69ba4fa5bb0.jpg

1661ccb914a73ff451843acbf2a5cc9d.jpg

41b4477a2b640c579f51847328164663.jpg

ad0c7675fd73326c28da151606b56879.jpg

a9f83558be8be29c755ee98327636b2d.jpg

acd6c61f038990e1c677240a3b0df49d.jpg
 
Marehemu namjua kasoma na kakangu yaani mpaka huko kwao nimekulia mtaa mmoja wasalimieni swai wote huko.
 
Ccm wanakataza siasa vyuoni lakini wao wanafanya ona sasa Mungu alivowaumbua kapita na wanafunzi wawili! Jifunzeni basi kuwa fair at once
 
roho inaniuma mpaka namwangalia naishiwa na nguvu leo ciamini km kalala kaburini
 
RIP BR
HIVI NSSF YAKE WATAPATA NDUGU AUMPAKA AFIIKISHE UMRIWAO...
 
UKITAFAKARI SANA KIFO,NDIPO UTAKAPOPATA KUFAHAMU KUHUSU UKUU NA UTUKUFU WA MUNGU.SIPATI PICHA KAMA TUNGEKUWA TUNAISHI MILELE NDUGU ZANGU.PUMZIKA KWA AMANI SWAI,BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.JINA LAKE LIHIMIDIWE,AMINA!
 
Back
Top Bottom