Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Lewis Makame amestaafu, tumkumbukuke kwa lipi?

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wanadamu wengi wanaokuwa kwenye kazi na kuondoka au wanapofariki huwa wanakumbukwa kwa yale mema waliofanya walipokuwa kwenye ile ofisi au duniani. Kwa mtazamo huo yupo mtu aliyekuwa mhimu kwa mustakabali wa Tanzania huyu si mwingine ni Jaji mstaafu aliyekuwakuwaMwenyekiti wa tume ya uchaguzi Lewis Makame ambaye kwa mujibu wa vyombo vya habari amefikia mwisho wa utumishi wake. Sasa tujiulize Watanzania tunaweza kumkumbuka kwa yapii mema au ni alama gani ameiacha ambayo kwayo atakumbukwa kwayo?
 
Huyu atakumbukwa sana kwa kukubali uchakachuaji wa uchaguzi wa mwaka 2010. Kwa mfano tu, uchaguzi wa ubunge kule Shinyanga mjini ni kipimo tosha kuwa alishiriki kualalisha uchakachuaji. Angekuwa kiongozi strong na mwaminifu kwa Taifa lake asingekubali aibu ile.

Mungu amrehemu yule aliyekuwa mgombea wa CHADEMA ambaye sasa ni marehemu.
 
Mambo mengine mpaka wanaona aibu, wanatangaza matokeo kwa wiki nzima eneo unaloweza kulizuru kwa nusu saa tu, wanadai miundombinu mibovu, kama jimbo la segerea wiki moja
ubungo siku 5
mwanza siku 3
shinyanga ndo balaaa mpaka sasa mbunge wa magamba kakimbia nyumba yake. wananchi hawamtaki
 
Mimi nitamkumbuka kwa style ya uvutaji wake wa sigara anavoiweka pembeni mdononi... No more
 
Wanadamu wengi wanaokuwa kwenye kazi na kuondoka au wanapofariki huwa wanakumbukwa kwa yale mema waliofanya walipokuwa kwenye ile ofisi au duniani. Kwa mtazamo huo yupo mtu aliyekuwa mhimu kwa mustakabali wa Tanzania huyu si mwingine ni Jaji mstaafu aliyekuwakuwaMwenyekiti wa tume ya uchaguzi Lewis Makame ambaye kwa mujibu wa vyombo vya habari amefikia mwisho wa utumishi wake. Sasa tujiulize Watanzania tunaweza kumkumbuka kwa yapii mema au ni alama gani ameiacha ambayo kwayo atakumbukwa kwayo?

What the sad news! The man executed his duties with great integrity much as Magwanda found him baneful because he walked on the truth and honesty. Folks will revere his devotion towards maintaining and promoting democracy amid pressure from disgruntled opposition liners notably Magwanda.
 
Tutamkumbuka kwa kusaidia kuchakachua matokeo ya kura za majimbo mengi mwaka 2010 na hadi kusababisha watanzania tuendelee kuteseka na hali ngumu ya maisha chini ya utawala wa chama kisicho na dira na chenye ahadi na mipango mingi ya kinywani tu.
 
Nitamkumbuka kwa kufacilitate wizi wa kura na kuwa mtumwa wa CCM, na mpaka leo hajawahi kurudisha kadi ya CCM.Napendekeza na Rajab Kiravu afuate nyayo za makame maana naye ni uchafu mwingine.
 
Wanadamu wengi wanaokuwa kwenye kazi na kuondoka au wanapofariki huwa wanakumbukwa kwa yale mema waliofanya walipokuwa kwenye ile ofisi au duniani. Kwa mtazamo huo yupo mtu aliyekuwa mhimu kwa mustakabali wa Tanzania huyu si mwingine ni Jaji mstaafu aliyekuwakuwaMwenyekiti wa tume ya uchaguzi Lewis Makame ambaye kwa mujibu wa vyombo vya habari amefikia mwisho wa utumishi wake. Sasa tujiulize Watanzania tunaweza kumkumbuka kwa yapii mema au ni alama gani ameiacha ambayo kwayo atakumbukwa kwayo?
Umeweka limit tumkumbuke kwa mema, sizani kama ana jema lolote, si wakukumbukwa labda kwa mabaya.
 
Wanadamu wengi wanaokuwa kwenye kazi na kuondoka au wanapofariki huwa wanakumbukwa kwa yale mema waliofanya walipokuwa kwenye ile ofisi au duniani. Kwa mtazamo huo yupo mtu aliyekuwa mhimu kwa mustakabali wa Tanzania huyu si mwingine ni Jaji mstaafu aliyekuwakuwaMwenyekiti wa tume ya uchaguzi Lewis Makame ambaye kwa mujibu wa vyombo vya habari amefikia mwisho wa utumishi wake. Sasa tujiulize Watanzania tunaweza kumkumbuka kwa yapii mema au ni alama gani ameiacha ambayo kwayo atakumbukwa kwayo?

Amehakikisha anaiacha CCM ikiwa inaongoza nchi.
 
Atakumbukwa kwa kuharibu uchaguzi wa 2010 kwani nusura asababishe maafa makubwa (amesababisha maafa) ya Arusha kwa kushindwa kuzuia mbunge wa Tanga kuingia vikao vya Arusha
 
Na Mungu amrehemu atakapokufa na Kumsamehe Dhambi Zake Kwani Yeye amekuwa Kama Kavoitu wa Tanzania!! Katika Historia Yote ya Uchakachuaji Atakumbukwa sana!! Ni Mfano wa Jaji asiyekuwa na Lolote la Kuigwa Kwa Watanzania!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom