Elections 2010 Mwenyekiti wa tume ang'aka matokeo ya ukerewe

wihanzi

Member
Feb 10, 2009
62
3
Wakati mwenyekiti akisoma matokeo ya uraisi, ghafla ikaja karatasi ya kule ubungo akasema tu ubungo na kuiweka kando nafikiri walikuwa wanarudia, na ilipokuja matokeo ya kule ukerewe ambapo Dr. slaa ameongoza kwa asilimia 48.32% dhidi ya 46.08% mwenyekiti ghafla akasita na kusema ahaaa, lakini washauri waliokuwa jirani yake wakamhakikishia kuwa ni yenyewe. Nafikiri aliona haiwezekani ukerewe slaaa kuongoza, na kama hivyo ndivyo kwa nini watu wasichakachue mahali kwingine na yeye akaamini kuwa ni sahihi kwa vile anaamini tu wa kuongoza ni JK?
 
Hii nchi sijajua wanaipeleka wapi? Watakufa tu kama wanyama na makaburi yatakuwa makao yao milele!
 
Chenye manzo.....
....kina misho!! kEMCHO bhai:smile-big:

wacheni tuburudike;

nishawaambia hawa dawa yao sisi ni kupigania wabunge halafu tunawaachia urais wao halafu tuone kama wataendesha serikali bila bunge, huo ndio utakuwa mwanzo:smile-big:
 
Hii Afrika ni burudani sana.
Ukishangaa ya Kiviutu utastaajabu ya Kiravu.
 
yule babu atakufa mdomo wazi, ehh mora kwa nini kila siku nasema wakama hawa uwa-RIP NO!no!no! uwa-R.I.Hell mapema
kwani kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake
 
mhhhhhhhhhhhhh................hatari............makame ndie mchakachuaji kubwa.
 
car-flying-off-cliff.jpg

The car is Tanzania, and the driver is CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom