Wakati mwenyekiti akisoma matokeo ya uraisi, ghafla ikaja karatasi ya kule ubungo akasema tu ubungo na kuiweka kando nafikiri walikuwa wanarudia, na ilipokuja matokeo ya kule ukerewe ambapo Dr. slaa ameongoza kwa asilimia 48.32% dhidi ya 46.08% mwenyekiti ghafla akasita na kusema ahaaa, lakini washauri waliokuwa jirani yake wakamhakikishia kuwa ni yenyewe. Nafikiri aliona haiwezekani ukerewe slaaa kuongoza, na kama hivyo ndivyo kwa nini watu wasichakachue mahali kwingine na yeye akaamini kuwa ni sahihi kwa vile anaamini tu wa kuongoza ni JK?