Election 2010 Mwenyekiti wa tume ang'aka matokeo ya ukerewe

wihanzi

Member
Joined
Feb 10, 2009
Messages
62
Points
70

wihanzi

Member
Joined Feb 10, 2009
62 70
Wakati mwenyekiti akisoma matokeo ya uraisi, ghafla ikaja karatasi ya kule ubungo akasema tu ubungo na kuiweka kando nafikiri walikuwa wanarudia, na ilipokuja matokeo ya kule ukerewe ambapo Dr. slaa ameongoza kwa asilimia 48.32% dhidi ya 46.08% mwenyekiti ghafla akasita na kusema ahaaa, lakini washauri waliokuwa jirani yake wakamhakikishia kuwa ni yenyewe. Nafikiri aliona haiwezekani ukerewe slaaa kuongoza, na kama hivyo ndivyo kwa nini watu wasichakachue mahali kwingine na yeye akaamini kuwa ni sahihi kwa vile anaamini tu wa kuongoza ni JK?
 

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Messages
2,178
Points
2,000

doup

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2009
2,178 2,000
yule babu atakufa mdomo wazi, ehh mora kwa nini kila siku nasema wakama hawa uwa-RIP NO!no!no! uwa-R.I.Hell mapema
kwani kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake
 

Forum statistics

Threads 1,389,875
Members 528,040
Posts 34,037,131
Top