Mwenyekiti wa Tawi (CCM) akamatwa na polisi kwa kuvunja tawi la CHADEMA

Watu wanatumia nguvu zao (fedha)kuhakikisha wanachama imara then anakuja kiumbe na kuharibu sheria ifuate mkondo tafadhal
 
Zamaan Mada Kama Hizi Zilikuwa Zikinigusa Sana Sema Tangu Mumpindue ZZK Sina Raha Kwa Kweli!

Usiwe na shaka Mkuu ZZK ameshapinduliwa na Chadema ataondoka hivyo ni bora ukajiaandaa kumfuata aendako msaliti mwenzio
 
Lakini pia kama huyo bwana anamapenzi na Zitto nivema amshauri mapema waanzishe chama chao cha wahuni wasio na maadili kwa viongoziwao watapata wanachama wanaolingana akiri
 
Mwenyekiti serikali ya mtaa wa sanawari Arusha amekamatwa na polisi baada ya kuvunja tawi la chadema.

Awali uongozi wa chadema kata ya Sekei baada ya kupata taarifa ulikwenda kituo cha polisi Sekei kutoa taarifa. OCS wa kituo alisema japo walikuwa wana taarifa kuwa tawi litavunjwa na Godfrey, hawatatoa) ya kumkamata. Ikabidi uongozi wa chadema uende Kituo Kikuu cha Arusha na kuandika maelezo na kupewa RB.
Hata hivyo leo asubuhi kuliibuka taharuki kubwa nyumbani kwa mwenyekiti huyo wa mtaa aliyetokana na ccm, baada ya polisi kushindwa kumkamata jana, vijana wenye hasira walikusanyika nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa wakitaka kumchomea nyumba. Vijana walilalamika inakuwaje watumie fedha zao kujenga tawi halafu ccm wanakuja kuvunja bila sababu! Uongozi wa chadema kata ya Sekei ilibidi wawasihi vijana waliokusanyika kwa wingi wasifanye uharibifu wowote, wasubiri polisi wafanye kazi yao. Polisi walifika pale wakiongozwa na Inspector Daudi.
Hivi sasa huyo Mwenyekiti huyo yupo selo akisubiri dhamana

Napongeza busara za uongozi wa CHADEMA katika jitihada za kumnusuru

Napongeza msimamo thabiti. wa Vijana wa CHADEMA na iwe fundisho kwa wengine

Nalaani tabia ya viongozi awq wa CCM pamoja na polisi kuwalinda wahalifu wanaochochea chuki na uhasama katika jamii
 
Mpaka kieleweke makamanda, hivi huyo gamba anasumbuliwa na nini mpaka anaùnaja rasilimali zetu?
 
Ilitakiwa sasa hivi awe i.c.u anapumulia mashine wakati ndugu zake wanafanya tathmini ya mazishi yake yaani watu wanachanga kidogo walichonacho kujenga tawi halafu yeye anajifanya greda? Senzy sana
 
Zamaan Mada Kama Hizi Zilikuwa Zikinigusa Sana Sema Tangu Mumpindue ZZK Sina Raha Kwa Kweli!

Usiwe na shaka Mkuu ZZK ameshapinduliwa na Chadema ataondoka hivyo ni bora ukajiaandaa kumfuata aendako msaliti mwenzio

Mkuu unaota huku unapost au?maana sijaelewa hapo umejiswalika na kujijibu.
 
Back
Top Bottom