Mwenyekiti wa Taasisi ya Imamu Bukhary Sheiky Khalifa Hamisi anashikiliwa na Polisi

Kwan kusema kwamba wale watu wamekaa jela kwa muda mrefu na hivi sasa wafunguliwe mashtaka ni kosa?sasa mtaendelea kuwashikilia watu wenu kwa muda wote huo bila kuwapeleka mahakamani had lin?
 
Ni Kweli ila na Serikali ya chama cha Magufuli
Ndio,kipindi hicho kilikuwa chama chetu watanzania wote!
Baada ya Nyerere kuondoka,kila kitu kikaenda kombo!Ni serikali ya chama hicho hicho cha JPM ndicho kilichoingia mikataba mibovu,Rushwa na ufisadi!!!!
 
Hakuna dhambi mbaya kama uoga. Magufuli amefanikiwa kuwatisha baadhi ya watu lakini kamwe hatoweza kuwatisha na kuwanyamazisha watanzania wote. Tutasema tu akitaka akamate wote wanaomsema akawafunge
 
Hivi Magufuli anafikiri ataweza kuwafunga watu wote nchi hii? Stupid
Na ndo ninachomshangaa .haiwezekani wewe ukisemwa tu unakamata na kufunga watu. Atuachie nchi yetu arudi kwao Rwanda hili zee vipi. Anatuletea laana tu Tanzania
 
Moyo wa binadam ni kama mpira tu utauuvuta ila utafika kikomo na kufanya maamuzi.
Tuombe Mungu ufate matakwa ya mvutaji lakini ukiamua tofauti, basi tujue kuna shida na hapatakalika.

Tunapoenda si kuzuri sana hilo Mwigulu Nchemba lazima mlitambue. Dhama za utawala wa kitwana zimepitwa na wakati ndiyo maana mnachaguliwa kwa mnapigiwa kura hivyo ongozeni na siyo kutawala.

Msipokuwa makini mtatuharibia nchi
Kwa hiyo hata kama kuna njama za kutaka kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha dini au siasa Serikali ikae kimya tuu?. Au watu wakiuawa pasipokuwa na hatia serikali upuuzie tuu. Hilo halitakuja kuwezekana hata siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom