Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 14,549
- 25,580
Wameteuana watu wasio na busara wala hekima Tanzania imekua kama Afrika kusini ya kaburu ambayo Mwalimu Nyerere aliipinga kwa nguvu zote...
It will backfire na hawtaweza kuuzima,
na kwa sasa huu moto wa UKATOLIKI unaendelea hakika hawataweza!
Mahali pasipo na maelewano, maendeleo hakuna. Serikali ni mimi na wewe, sijui una maana gani kusema hivyo au unamaanisha "katika utawala wangu"?Moto gani rafiki yangu huwezi kushindana na serikali utaumia wewe, sisi watanzania tunataka maendeleo sio fujo zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Moto gani rafiki yangu huwezi kushindana na serikali utaumia wewe, sisi watanzania tunataka maendeleo sio fujo zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
mawazo hayo ni kawaida kutokana,na kufikiria/kuwaza at maximum ya ubongo na hii inasabaisha kufanya matukio yasiyo kawaida kama kujinyonga , kuua na kufanya ugaidi hivyo ni vyema kuwa makini na kizazi hiki kwani chuki na ubaguzi unawwza kutugharimu kama taifaMkuu una watoto...
Au wewe ni Group Wema Sepenga...!??
Policicm hao wacheni wafanye kazi ya chamahata mimi namuunga mkono lowassa..
wamewadhalilisha sana masheikh wa zanzibar na hatia haijapatikana hadi leo..
tena wanashtakiwa nje kabisa ya eneo husika..
watuhumiwe zanzibar washitakiwe bara...
kkkkkkkk...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wakati muafaka sasa watanzania kuanza kupigania haki, usawa, na demokrasia, sababu bila hivyo vitu hakuna maendeleo yoyote yanaweza kupatikana, serikali badala ya ku deal na issues inashughulika na watu au inashughulikia watu, hasa wanao sema ukweli, sababu hawapendi wananchi wapate ukweli. Kila kitu uchochezi, hii inaonyesha udhaifu mkubwa wa serikali iliyoko madarakani. Sasa kinachoendelea sasa hivi ni kujenga chuki kwa wananchi wake kila upande, siku wakiteleza itakuwa shida.Mwenyekiti wa taasisi ya Imamu Bukhary Sheikh Kahalifa Khamisi anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kutokana na press conference ya juzi, Polisi wanataka kujua kwanini aliunga mkono kauli ya Lowassa na pia kwa nini aliwataka Waislamu wote nchini kuungana kutetea haki za waislamu waliopo Magereza