Elections 2010 Mwenyekiti wa serikali za mitaa akuta jina lake halipo; asimamisha uchaguzi - Mbagala

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Kati ya taarifa zilizonivutia ni hii hapa ya mwenyekiti wa serikali za mitaa mbagala alipokuta jina lake na watu zaidi ya 50 awapo na kusimamisha uchaguzi ,..si yeye bali niwatu waliokuwa majina yao yameandikishwa gfla ayajatokea kwenye jalada lao la leo

Baada ya kuona hivi mwenyekiti aliwaambia msipoteze muda iten gari lenu muondoe vifaa hakuna kitakachofanyika mpaka mtakapotueleza majina mlipoyapeleka....

ukiwa kama mwana ccm inakufundisha nini???
KIDUMU CHAMA
 
Awa jaamaa ni wanyama mi najiuliza kama wamengatana wenyewe kwa wenyewe hivi sie baki tutapona oct 2010
yetu macho tumwachie mathread na hili
 
Kama hanatendeana hivi wao miti mikavu itakuwaje kwa ......................CCM wezi bwana asikwambie mtu
 
Kati ya taarifa zilizonivutia ni hii hapa ya mwenyekiti wa serikali za mitaa mbagala alipokuta jina lake na watu zaidi ya 50 awapo na kusimamisha uchaguzi ,..si yeye bali niwatu waliokuwa majina yao yameandikishwa gfla ayajatokea kwenye jalada lao la leo

Baada ya kuona hivi mwenyekiti aliwaambia msipoteze muda iten gari lenu muondoe vifaa hakuna kitakachofanyika mpaka mtakapotueleza majina mlipoyapeleka....

ukiwa kama mwana ccm inakufundisha nini???
KIDUMU CHAMA

Kigumu
 
Naombea jina la JK lisiwepo Oktoba..:biggrin::biggrin:
 
Kati ya taarifa zilizonivutia ni hii hapa ya mwenyekiti wa serikali za mitaa mbagala alipokuta jina lake na watu zaidi ya 50 awapo na kusimamisha uchaguzi ,..si yeye bali niwatu waliokuwa majina yao yameandikishwa gfla ayajatokea kwenye jalada lao la leo

Baada ya kuona hivi mwenyekiti aliwaambia msipoteze muda iten gari lenu muondoe vifaa hakuna kitakachofanyika mpaka mtakapotueleza majina mlipoyapeleka....

ukiwa kama mwana ccm inakufundisha nini???
KIDUMU CHAMA

fitina ndio siasa
 
Rafu za kipumbavu kweli,ila tushishangae yakitukuta hayo kwa uchaguzi wa october has Zenji
 
Back
Top Bottom