Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa NEC, yanayoendelea Morogoro Mjini ni sahihi kwako? Kwanini wapinzani wanyanyaswe na wasaidizi wako?

Yote hayo wanalazimisha apite bila kupingwa, siku zote wanatuambia anakubalika jimboni kwake kwasababu anatoa bure huduma ya kuzika sasa siwamuache apigiwe kura na hao wanaomkubali.
Huu upuuzi utaisha pale ujinga wa kupita bila kupingwa utakapokomeshwa!
 
body language ya huyo mama inaonyesha wazi anachoongea uongo .cheki alivyo mkavu yaani ni fix huhitaji kuwa mtaalamu wa saikolojia kujua anachoongea sicho
Na haya ulio andika wewe ndio ya kweli?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom