Mwenyekiti wa Mtaa wa Ziwa Kata ya Butimba Mwanza kupitia CHADEMA ajiuzulu na kuhamia CCM

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
227
597
Abeid Ahmed Mussa Mwenyekiti wa Mtaa wa Ziwa Kata ya Butimba kwa tiketi ya chadema amejiuzulu Uenyekiti wa Mtaa na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.

Akiongea na Vyombo vya Habari Leo Tarehe 10.10.2018 Amesema chadema kwa sasa imekosa Dira wala hakuna zaidi ya ubishi ubishi tu lakini hawana nia Ya kushika Dola zaidi ni chama cha watu wachache wenye lengo la kujenga Maisha yao Binafsi tu.
Ameongeza zaidi kuwa Hata Diwani wa Kata ya Butimba Bwana John Pambalu atafuata muda si mrefu na viongozi wengine wa wilaya na kata na kujiunga na ccm.
Pia Amesema Kuna Taarifa za Mnyika na Wabunge wengine wa kutoka kanda ya ziwa wako mbioni kabla ya Desemba.
Ameongeza kuwa Amejivua uanachama wa chadema na kuomba kujiunga na ccm ili kujenga Taifa kwa chama chenye sera na falsafa za kweli na dira.

Source: Katibu wa ccm Kata ya Butimba Bwana Marwa
 
Sio jambo geni sana kwa sasa tumeshazoea hatushangai sana hii hama hama Ili kuunga juhudi,mawazo au maamuzi ya mtu yaheshimiwe afu wale wanaosema swala kununuliwa nao wajitafakari haiwezekani ununue watu wengi hivyo wenye akili timamu ni ngumu sana labda mje na sababu zingine si kununuliwa hio sababu nina mashaka nayo siiamini tena
 
Mbowe nadhani ajitafakari.
Kumbe we mwenyewe ni ccm unaunga mkono jitihada za wajinga wenzio za kununua huyo mwenyekiti hata hatingishi chama yani ni sawa na uegemee basi upande linapokatia kona ukizania utaliangusha 😂😂😂😂 kwendeni na limagu lenu linaotengeneza madaraja linaita flyover
 
Acheni upumbavu wana ccm mwenyekiti kujitoa mnampelekea mpaka press?? 😂😂😂 na maandazi wenu dk rioba wa TBC mpeni kacheo anabwata sana wakati hajui lolote anatetea ugali wake
 
ndiye n
ndiye nahodha wa meli...miaka 20 ya uenyekiti..Yaan akili ile ile ,mbinu zile zile
Nilipata shaka aina ya uletaji wako wa hii taarifa, ambayo ilionyesha dhahiri umejaza maneno yako binafsi! Kipande hicho hapo juu, ndio kimenithibitishia shaka yangu!
 
Back
Top Bottom