Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi ya TFF, Revocatus Kuuli amesema Katibu Mkuu Kidao Wilfred hana uwezo wa nafasi hiyo

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Kuuli ameyasema hayo wakati wa mahojiano na Mwandishi wa habari aliyetaka kusikia kauli yake baada ya Katibu Mkuu wa TFF, kidao Wilfred kumwandikia barua kumtaka ajieleze wapi ametoa mamlaka ya kusitisha uchaguzi wa timu ya Simba. Kuuli alisitisha uchaguzi wa Simba hadi watakaporekebisha kasoro za mchakato wa uchaguzi ikiwa ni pamoja na gharama za uchukuaji fomu ambazo haziendani na zile zilizoainishwa kwenye Katiba.

Screenshot_20181002-073921.png

Screenshot_20181002-073932.png
 

Attachments

  • AUD-20181002-WA0103 (online-audio-converter.com) (1).mp3
    3.3 MB · Views: 12
naweza kukubaliana na kauli yake kwani utaratibu ilitakiwa hiyo nafasi itangazwe lakini alipewa kiushikaji kama TFF wanakiuka maazimio ya fifa unategemea vilabu vitafanya nini
 
Back
Top Bottom