Mwenyekiti wa jukwaa la katiba ndugu..................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa jukwaa la katiba ndugu.....................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Apolinary, Nov 18, 2011.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti wa jukwaa la katiba ndugu Deus.jumapili iliyopita alitangaza maandamano nchi nzima iwapo bunge litapitisha mswada na kuwa sheria leo hii mswada umepitishwa na upande mmoja hali kadhalika wabunge wa cdm hawakuwapo je ndugu deus hujayaona ama ndo umefunika masikio?
   
 2. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Huyo deus alichaguliwa lini na nani na alipewa na nani mamlaka ya 'kuwawakilisha wananchi'. Ajue kuwa ana haki ya kutoa maoni yake binafsi km ilivyo kwa Mtanzania yeyote lakini anakera kwa kujifaragua kwake kuwa anawawakilisha maoni ya Watanzania...kwani alikutana nao wapi na lini?
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,216
  Likes Received: 3,778
  Trophy Points: 280
  Bila shaka umejipembua vile ulivyo hayawani!
  Kila dunia ina watu werevu wa aina ya kibamba,taifa la wenye haki lipo samama na Kibamba ila wewe kaa nyuma ya CCM hivyohivyo
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  tikiti maji lingine hiloooooooooo!
   
 5. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Usalama wa taifa watakuwa wameshampitia tayari............ Nchi hii kwa vitisho. Loh!.
   
 6. c

  cheseo Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Jamani kama mlimskia vizuri deus alisema hawatafanya haraka kuitisha maandamano ila watakaa na kupanga kila kitu kwa mda wa mwezi mmoja ndipo watatangaza msimamo wa maandamano
   
Loading...