Priva mella
Member
- Oct 31, 2012
- 81
- 28
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hasa Madiwani wa CCM; mwenyekiti wa halmashauri ya ROMBO CCM;Antoni Tesha wakati hakihairisha kikao cha Halmashauri kilichokuwa kimekaa kupitisha makisio ya matumizi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2014/2015 cha tsh 10,279,109,613. Aliwapongeza mwenyekiti na katibu wa Chadema wilaya kwa kupiga kazi na kushiriki shughuli nyingi za kichama na kimaendeleo katika jimbo la Rombo zaid ya wa upande wake ccm; pia aliomba asijadiliwe kwenye vikao vya kamati ya siasa ya chama chake ccm kwa kauli yake hiyo kwa sababu aliyoyasema ni ya kweli mtupu