Mwenyekiti wa halmashauri ya rombo anton tesha ccm;awapongeza mwenyekiti wa chadema na katibu wake

Priva mella

Member
Oct 31, 2012
81
28
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hasa Madiwani wa CCM; mwenyekiti wa halmashauri ya ROMBO CCM;Antoni Tesha wakati hakihairisha kikao cha Halmashauri kilichokuwa kimekaa kupitisha makisio ya matumizi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2014/2015 cha tsh 10,279,109,613. Aliwapongeza mwenyekiti na katibu wa Chadema wilaya kwa kupiga kazi na kushiriki shughuli nyingi za kichama na kimaendeleo katika jimbo la Rombo zaid ya wa upande wake ccm; pia aliomba asijadiliwe kwenye vikao vya kamati ya siasa ya chama chake ccm kwa kauli yake hiyo kwa sababu aliyoyasema ni ya kweli mtupu
 
leo ameanza kumsifia mwenyekiti na katibu kesho atahitaji kufanya nao kazi CCM KIFO kibaya kinawangoja
 
Katika hali isiyo tarajiwa na wengi hasa Madiwani wa CCM; mwenyekiti wa halmashauri ya ROMBO CCM;Antoni Tesha wakati hakihairisha kikao cha Halmashauri kilichokuwa kimekaa kupitisha makisio ya matumizi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2014/2015 cha tsh 10,279,109,613. Aliwapongeza mwenyekiti na katibu wa Chadema wilaya kwa kupiga kazi na kushiriki shughuli nyingi za kichama na kimaendeleo katika jimbo la Rombo zaid ya wa upande wake ccm; pia aliomba asijadiliwe kwenye vikao vya kamati ya siasa ya chama chake ccm kwa kauli yake hiyo kwa sababu aliyoyasema ni ya kweli mtupu

chadema wanapiga kaz si mchezo..maccm wameshatambua hilo.
 
Cdm wanastahili pongezi japo shshiem wanapongezwa kwa vitendo vya rushwa na ufisadi wao maana wanatekeleza ilani yao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom