Mwenyekiti wa halmashauri serengeti aiba mabilioni

Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
845
446
wana JF kuna tetesi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya serengeti na diwani wa kata ya mbalibali CCM ndugu JOHN NG"OINA ameiibia halmashauri hiyo zaidi ya billioni 5 fedha zinazotokana na malipo toka hifadhini na fedha za miradi na hivi sasa kakimbilia INDIA alikojificha akidai anaugua kisukari,naomba wadau hasa wana serengeti wenye full information kuhusu issue hii wafunguke,msisahau JK ni mwekezaji huko ana hoteli inaitwa BILILA KEMPISKI wanaimiliki kwa ubia na mwarabu mmoja
 
huyo mh diwani na mwenyekiti wa halmashauri pamoja na kikundi cha wanene flani huko serengeti ndo walokula njama na kumwangusha aliyekuwa mbunge na naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh james wanyancha kwa kuwa alikuwa hawapi nafasi ya kufaidi matunda yatokanayo na hifadhi hiyo kubwa tanzania
 
Back
Top Bottom