Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru

Mnamkaribisha kwenu, kwani munajua chanzo cha mgogoro? Hebu shughulisheni akili kidogo kugundua tatizo nini kabla ya kumkaribisha? Mbona Mh. Rostamu hamjamkaribisha au yeye alijivua gamba na huyu mwenyekiti amejivua shati?
<br />
<br />
raostamu bado ni wenu na bado manhaja naye by the way CDM c dampo la kumwagia uchafu wale wenye mikono misafi wanakaribishwa
 
Inavyoeleweka ni kwamba huyu mwenyekiti amekuwa ni mwiba mkali sana kwa mkuu wa wilaya ambaye anapata mgao wa kimaslahi (financial support) kutoka GGM na kuwakingia kifua kwa lolote lile wanalofanya hata kama halina masilahi kwa wakazi wa Geita na taifa kwa ujumla.
 
Tangu lini magamba wanampenda mtu safi,Huyo diwani lazima alikuwa anawaumbua wenzio,naunga mkono hoja!
 
Tusubiri tuone ccm atasemaje juu ya kaul ya hy mwenyekiti mstaaf alivyosema kw anasiri nying sn za ccm
 
Habari za uhakika kutoka kata za nkome,katoma,nzera na lwezera zinasema wananchi wapambe wa msukuma wamefanya vurugu kubwa hadi mtu mmoja kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya kwa kutaka kumnyang'anya siraha polisi.vurugu hizo zimesababisha askari wa ffu kutoka geita kwenda huko umbali wa km 65 kutoka geita mjini.
Source katibu wa ccm kata ya nkome.
 
taarifa yako iwasilishe vizuri bila kuichakachua. fafanua ni wapi kajiuzulu na wapi kavuliwa uenyekiti wa halimashauri.

Ni kweli kabisa alikuwa na migogoro na madiwani wenzake, ndipo jana ukumbi wa halimashauri ulizingirwa na polisi kwa kuwa kikao kilichokuwa kinaendelea kililenga kumvua uenyekiti wa halimashauri.

madiwani wa geita walifanikiwa kumvua uenyekiti wa halimashauri ambo aliupata kwa kununu kupitia makusanyo yake katika magari yake ya kusafirishia abiria.
Musukuma hakujiuzulu uenyekiti wa halimashauri, alivuliwa na madiwani wenzake. baada ya kuhisi heshima yake imeshushwa, ndipo alipotangaza kuachia na nafasi zake zote zilizotokana na yeye kuwa diwani pamoja na udiwani wenyewe. hakujiuzulu kwa kupenda bali alitimuliwa, ndo akaachia nafasi zake zote.

kinachomusumbua Msukuma, ni kiburi cha mali alizonazo, akadhani halimashauri itaongozwa na kiburi cha pesa zake. darasa han, ndharia za uongozi hana ili mradi ana hela kila kitu alinunua.
nadhani we nae ni gamba! kwa jinsi mi nianvymfahamu msukuma, alikuwa ni mtu wa kuhoji matumizi ya fedha za wananchi-umma. nimemuona mara nyingi akizungumzia madaraja yaliyojengwa chini ya kiwango ilihali mihela kibao imetumia...actually huyu jamaa alikuwa na approach zote za chadema sema tu ailiingilia mlango mbaya.....
kwa harakaharaka aende chadema, naamini wana-geita watamuunga mkono na ataibuka tena kuwa diwani(kama kweli amejiuzulu) wao maana wengi bado wanamhitaji.
Bravo msukuma!!!!
 
yani hakuna mtu mwenye taarifa kamili isiyo na maoni yake???
mara Msukuma ni mtu safi, mara sio mtu safi!!
 
Ikiwa ni kweli huyu mwenyekiti ametimuliwa Uenyekiti kutokana na ubadhilifu wa fedha nadhani swala hili linatakiwa kuchukua sura nyingine kabisa..Ni lazima uchunguzi ufanyike na ushahidi uliopatika kumwondoa madarakani utumike ktk kumfungulia mashtaka laa sivyo tutakuwa tunapotosha kabisa maana ya uongozi bora baada ya kufugia uvunguni - miiko na maadili ya Uongozi Kitaifa...
 
duuh!!!!!!!!!!!!!!!!
mpaka 2015 walahi mengi tutayashuhudia!!!!!!
hio ndio cdm bana!
imeibua mengi hadi watu wanaiitana nyoka na kuvuana magamba.
cdm ni noma.
mara chama cha msimu tuendako chama tawala.
hongereni cdm kwa kuwaamsha watanzagiza.
 
Huyo katibu wa magamba kata ya nkome atakuwa mpambe wa mwenyekiti aliyetimuliwa. Na jamaa ametangaza kujiuzulu na udiwani,kitakachofuata ni kuhamia upande wa pili, maana amesema anafahamu madhambi mengi ya halmashauri.
 
HUYU mwenyekiti sijamuelewa..,nimemsikiliza jana kwa umakini mkubwa lakini nikashangaa anaposema Anajiuzulu na UDIWANI.sasa yeye tumemchagua kura diwani hiyo ya uenyekiti ni mikakati yake,sasa inakuaje anataka kutusaliti tuliompigia kura mwaka 2010,kwa ajili ya wachache ambao kipindi hicho nao walikuwa wakiomba kura kwa watu wa kata zao....SASA hapa tufikirie ALIKUWA anafuata nini? tumwache aende CCM ina watu wengi wenye uwezo zaidi zake yeye.POLENI wapigAKURA WA NKOME
 
HUYU mwenyekiti sijamuelewa..,nimemsikiliza jana kwa umakini mkubwa lakini nikashangaa anaposema Anajiuzulu na UDIWANI.sasa yeye tumemchagua kura diwani hiyo ya uenyekiti ni mikakati yake,sasa inakuaje anataka kutusaliti tuliompigia kura mwaka 2010,kwa ajili ya wachache ambao kipindi hicho nao walikuwa wakiomba kura kwa watu wa kata zao....SASA hapa tufikirie ALIKUWA anafuata nini? tumwache aende CCM ina watu wengi wenye uwezo zaidi zake yeye.POLENI wapigAKURA WA NKOME
<br />
<br />
jamaa ameweka wazi kuwa hawezi kuwa pamoja na wale wajaliomsaliti na anajua madhambi mengi hivyo asingeweza kutenda kazi kama diwani,kawapa pigo magamba kwa kujiuzuru so uchaguzi ukija nguvu ya umma itakiadhibu chama.big up mr chairman.
 
Habari za kutoka Geita zinadai kuwa mwenyekiti alikuwa anahoji matumizi ya pesa ambazo zinatolewa GGM (Mgodi wa geita) kusaidia maendeleo ya wilaya ya geita.

Pamoja na fedha lukuki zitolewazo hakuna maendeleo ambayo mtu anaweza kuonyesha wapi hizo fedha zimefanya kazi. Maana nasikia alienda kuonana na uongozi wa mgodi kuhoji nivipi wanasaidia maendeleo ya wilaya wakampa takwimu zote za fweza, ndo alitaka kujua pesa ziliko enda. Basi wale wanao tafuna na wanasomeshea watoto wao ulaya wakaona huyo si mwenzao, kwa kutumia pesa zao wamewahonga madiwani na leo wakapiga kura ya kutokuwa na imani naye na kikao kilihudhuliwa na Mkuu wa mkoa wa Mwanza " KANDORO"

CCM hawawataki kabisa watu ambao wapo kwa maendeleo ya UMMA

Kama hii ni kweli basi CCM ni janga la kitaifa na genge la mafisadi kama alivyosema Uncle Fred Mpendazoe. Yaani mkuu wa mkoa anakuja kusimamia uharamia huu. Hata hivyo, yeye si ni kada wa chama cha Magamba. LAKINI NASISITIZA KAMA HABARI HII NI KWELI.
 
Habari za uhakika kutoka kata za nkome,katoma,nzera na lwezera zinasema wananchi wapambe wa msukuma wamefanya vurugu kubwa hadi mtu mmoja kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya kwa kutaka kumnyang'anya siraha polisi.vurugu hizo zimesababisha askari wa ffu kutoka geita kwenda huko umbali wa km 65 kutoka geita mjini.
Source katibu wa ccm kata ya nkome.
Kanyasu upo sawa ninachojua mimi juu ya msukuma ni mtu anaependa umaarufu huku akisema uongo wa wazi, wengi wanajua ni mtetezi wa wanyonge ukweli yule ni mfanyabiashara ambaye kila anachogusa anataka apate faida, walivyomkatalia akaanzisha majungu, ni msukuma huyhuyu aliyesema eti eneo la hospital limeuzwa na akasema anao ushahidi alipoulizwa eneo gani atoe ushahidi akashindwa. Amekua kero kwa makandarasi wilayani humu kila kukicha anadai mpaka ashibe ndo watapata kazi.
Wengi wanadhani ndugu yule kaonewa ukweli alivumiliwa sana. Sasa tusubiri si amesema anajua mengi atayalipua tuone kama atafanya lolote.
 
hizi ndizo siasa za TZ watu wanapenda sana kujishibisha matumbo yao hawawa jali kabisa maskini wa nji hii

huyu diwani ahamie upinzani tu ili aonyeshe jinsi anavyo weza japo kuisogeza mbele TZ hatua moja
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom