Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru

Ukweli ni kuwa ameng'olewa na Madiwani wa chama chake kutokana na kuwa na Mgogoro wa muda mrefu, kambi mbili zilikuwa zikishindana.

Toka alipoingia kushinda udiwani alikuwa akipambana na wenzake na leo wamefanikiwa kumg'oa. Japo alitamka kuachia na UDIWANI taarifa za sasa usiku nimeambiwa kuwa amekanusha kuachia na udiwani.
 
Hakuna ubishi, sera KUBWA ya CCM nyuma ya pazia ni ChukuaChako Mapema kwa urefu wa Kamba yako, ukizubaa shauri yako! Haiwezekani mtu anaepinga ufisadi ndani ya CCM anakuwa adui yao. Pia haiwezekani kila siku ufisadi unaibuka mpya na hawakomi na wala hatua zozote hazichukuliwi!

HAIWEZEKANI ikawa inatokea kama bahati mbaya, HUU NI MPANGO MZIMA WA CCM!
 
Habari za kutoka Geita zinadai kuwa mwenyekiti alikuwa anahoji matumizi ya pesa ambazo zinatolewa GGM (Mgodi wa geita) kusaidia maendeleo ya wilaya ya geita.

Pamoja na fedha lukuki zitolewazo hakuna maendeleo ambayo mtu anaweza kuonyesha wapi hizo fedha zimefanya kazi. Maana nasikia alienda kuonana na uongozi wa mgodi kuhoji nivipi wanasaidia maendeleo ya wilaya wakampa takwimu zote za fweza, ndo alitaka kujua pesa ziliko enda. Basi wale wanao tafuna na wanasomeshea watoto wao ulaya wakaona huyo si mwenzao, kwa kutumia pesa zao wamewahonga madiwani na leo wakapiga kura ya kutokuwa na imani naye na kikao kilihudhuliwa na Mkuu wa mkoa wa Mwanza " KANDORO"

CCM hawawataki kabisa watu ambao wapo kwa maendeleo ya UMMA
What a shame!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kumbe Ukiwa CCM ukitaka kuhoji maendelea na kutetea raia unaonekana mbaya aisee hiyo kali.
 
Itakuwa walimshtukia ana mahusiano na magwanda.
Sio mahusiano na magwanda, bali anafanya yale ambayo wananchi wa geita wamemtuma. Kwavile yanafanana na sera za magwanda, limekuwa tatizo. Magamba hawataki kabisa mtu anayehoji maendeleo!
 
Nimekaa geita kidogo. Kwa weli ukiangalia ile wilaya na ukiambiwa kuna mgodi mkubwa wa dhahabu kwenye ile wilaya na miisitu ya hifadhi huwezi amini. Wilaya mpaka sometime inakabiliwa na njaa na hakuna maendeleo yoyote ya maana kwenye ile wilaya.

Ni aibu mtu anaoji maendeleo na then wanaamua kumtoa kwa kuwa sio mwenzao na anahoji pesa zinazotolewa na wawekezaji zinakoenda anaambiwa sio mwenzao
 
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita Nd.Msukuma leo ametangaza kujiuzuru uenyekiti wa Halmashauri pamoja na udiwani kwa tiketi ya CCM baada ya kuwa kwenye mgogoro na madiwani wenzake wa magamba kwa muda sasa.

source,ni habari toka ukumbi wa halmashauri.

taarifa yako iwasilishe vizuri bila kuichakachua. fafanua ni wapi kajiuzulu na wapi kavuliwa uenyekiti wa halimashauri.

Ni kweli kabisa alikuwa na migogoro na madiwani wenzake, ndipo jana ukumbi wa halimashauri ulizingirwa na polisi kwa kuwa kikao kilichokuwa kinaendelea kililenga kumvua uenyekiti wa halimashauri.

madiwani wa geita walifanikiwa kumvua uenyekiti wa halimashauri ambo aliupata kwa kununu kupitia makusanyo yake katika magari yake ya kusafirishia abiria.

Musukuma hakujiuzulu uenyekiti wa halimashauri, alivuliwa na madiwani wenzake. baada ya kuhisi heshima yake imeshushwa, ndipo alipotangaza kuachia na nafasi zake zote zilizotokana na yeye kuwa diwani pamoja na udiwani wenyewe. hakujiuzulu kwa kupenda bali alitimuliwa, ndo akaachia nafasi zake zote.

kinachomusumbua Msukuma, ni kiburi cha mali alizonazo, akadhani halimashauri itaongozwa na kiburi cha pesa zake. darasa han, ndharia za uongozi hana ili mradi ana hela kila kitu alinunua.
 
Basi sasa hivi kutalipuka kwa mengine mwanzo huo, Taabu ya magamba hawataki mtu ambaye anatetea maslahi ya wataz wa kawaida na maendeleo ya nchi. wanachi tujifunze kuwakataa viongozi wa aina hii
 
BWANA yesu aliwahi kusema yaacheni magugu yakue pamoja na ngano utafika wakati wa kuvuna ndipo mkulima atabagua magugu na ngano. haya sasa yamefika wapi? Big up Mwenyekiti wewe ni ngano safi achana na mgamba jiunge na majemedari wa magwanda
 
Mapanya kukaa boti moja na kamuhogo kadogo hayawezi lazima kuumana tu sasa ndiyo matokeo haya .
 
Mwenyekiti hyo ambae ni diwani wa ccm ametimuliwa na baraza la madiwani kwa kupigiwa kura nyingi za kutokuwa na iman nae kutokana na ubadhirifu na ufujaji wa pesa!
hivi ccm ndo inavyowafundisha viongozi wake?!
 
Kadai ana siri nyingi ambazo zinaweza kukibomoa chama, hivyo hawez kwenda mahakamani kama wanavyomtaka.
 
kumtimuwa haitoshi ilibidi akamatwe atiwe ndani kama yule Katibu wa UVCCm kule Songea.
 
Kasema anajua siri (maovu) mengi ya Magamba. Akilipua chama kitaisha. Takukuru hebu chunguzeni
 
Back
Top Bottom