Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,615
Rais aongee na watu wake aliowachagua ili kuwaasa kuhusu umuhimu wa kufuata sheria, kanuni na ustaarabu ktk kushughulikia mambo. Hii tabia ya ma-DC na ma-RC kufanya kazi ya kukandamiza wapinzani wakati wananchi wana kero nyingi sana zinazohitaji utatuzi sio sawa.
Tukienda kwa mwendo huu hatutakuwa tofauti na utawala uliopita ambako kila mtu alikuwa na sharubu kama familia ya kambale. Hata alete maendeleo ya kiasi gani, kama ananyanyasa wananchi wake kwa sababu tu ya tofauti za kisiasa atajiharibia sana legacy yake. Kwa namna anavyofanya kazi, hahitaji kunyanyasa wapinzani ili ashinde 2020-kazi yake inaongea. Hili la kusumbua wapinzan halina kisingizio-ni chuki tu za ngozi nyeusi.