Mwenyekiti wa EAC Umesikia malalamiko ya Uganda kuhusu Uhuru mipakani?

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,727
2,000
Leo ktk kipindi cha Uchumi BBC Redio jioni hii taarifa toka Serikali ya Uganda wanailalamikia Serikali ya Tanzania na Kenya kuhusu Uhuru wa magari ya mizigo.

Uganda Wanasema wanapoingiza magari yao Nchini Kenya wanalipa Dola 200 kwa Lori na wanapoingiza Tanzania wanalipa Dola 500 kwa Lori wakati wao Uganda Lori linapoingia linalipiwa Dola 50 tu.

Sasa Uganda wanaomba ili suala liangaliwe ili kuwe na usawa ktk nchi za Africa Mashariki

Kazi kwako Mwenyekiti wa EAC Ku..harmonize hii hali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom