Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba kuzuru Tanzania Visiwani kwa ziara ya kukijenga chama

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Profesa Ibrahim Lipumba Mwenyekiti HALALI wa Chama cha Wananchi CUF hivi karibuni anatarajiwa kufanya ziara ya kukijenga Chama huko Tanzania Visiwani.

Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani ya Chama Kiongozi huyo wa ngazi ya juu kabisa na aliyemuangusha na hatimae KUMFUKUZA katika Chama Maalim Seif anatarajiwa pia kukutana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.

Vilevile Ndugu Lipumba anategemewa kutembelea Ofisi za Chama zilipo Unguja na Pemba kwa kujionea mwenyewe uharibifu uliofanywa na wahuni na hatimae avikabidhi Vyombo vya Dola kwa hatua zaidi za Kisheria.

Kila lililo la kheri Mwenyekiti!
 
Aisee kuna chokochoko zinatafutwa kwa hali zote na kwa nguvu zote.... Kuna watu wanatafutwa wakafungiwe kwa kesi za mauaji... Huyo Lipumba kama ni kweli anataka kwenda huko WATAMFUTURU mchana kweupe na ndio kitawaka
Ni kama vile kinatafutwa kitu ili wapate sababu ya kutangaza hali ya hatari

Jr
 
Mungu mubariki Pofesa Ibrahim Lipumba.
 
Chokochoko wanamchokoa pweza. Sio bure nadhani wako kwenye plan b
Aisee kuna chokochoko zinatafutwa kwa hali zote na kwa nguvu zote.... Kuna watu wanatafutwa wakafungiwe kwa kesi za mauaji... Huyo Lipumba kama ni kweli anataka kwenda huko WATAMFUTURU mchana kweupe na ndio kitawaka
Ni kama vile kinatafutwa kitu ili wapate sababu ya kutangaza hali ya hatari

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuteni hoja zingine hizo siyo hoja.
Subiri utakuta kama ni hoja au la wazanzibari wenye mitoto au ndugu migaidi anzeni kuitafutia pa kwenda Zanzibar hapatakalika kwao .Anzeni mchakato sasa hivi kama mwanao au ndugu ni sehemu ya wavamizi wa ofisi za CUF mtafutie pa kwenda haraka kabla hamjasombwa wote kwa kesi za ugaidi
 
Wewe jamaa mbona unamtetea sana Lipumba ,kwani wewe ni mwanachama wa CUF?

Yaani vijana wa CCM wameumia kumuona Seif akihamia Act. Nyie watu mna roho mbaya hata shetani anawashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Seif nimempongeza kwenda Act wazalendo ni haki yake ya kidemokrasia ninachopinga ni hili la kupora mali za chama.Mrema aliijenga sana NCCR aliondoka kawaachia mali.Lowasa aliijenga sana CCM aliondoka aliichia mali .Tunqchokataa kata kata ni huu utamaduni wa mtu kuhama chama na kutaka kuondoka na mali za chama anachotaka kwenda nazo kwingine.Hili halikubaliki katu na lazima lipigwe Vita kwa nguvu zote hata kama ni kwa kutumia mabomu au vifaru au risasi za moyo ili kulikomesha forever lisije tokea Tanzania tena
 
Halafu utashangaa hiyo ziara yake itakavyopata ulinzi wa kutosha kutoka vyombo vyetu vya dola! Wakati huo profesa atakuwa ameshasahau kabisa ni watu hao hao waliomtwanga virungu wakati alipofanya yale maandamano yake yaliyopigwa marufuku kule mbagala.
 
Nadhani CUF ina muda mchache sana katika midomo yetu wanaCCM..sasa hivi itakuwa sio hoja. Tulicho bugi ni kushindwa kuwa na mkakati wa kudhoofisha vyama vyote at per tukashupalia CUF..sasa matokea yake CUF inakufa ACT inaungana na CDM kuimarika..yaani duuh. Strategists wetu pale LUMUMBA bado hawako vizuri katika kuweka mambo sawa. Namsifu Maalim kuona hilo..kama angehamia CDM ingekuwa peke yake katika uimara lakini tumerudi pale pale kwa CUF + CDM = CDM +ACT. lakini nashauri tuijenge nchi yetu hivi vyama vya ukinzani hata vikifa au b=vikiishi sio dhumuni la CCM..CCM yajenga nchi iwe ndio kauli yetu na maneno yetu wanaCCM. Porojo waachiwe wapingaji.
 
Wale magaidi sio siri sura wengi wanajulikana walikuwa wanatafutwa muda mrefu tu wewe hushangai mtu hata kadi ya ACT wazalendo hajapewa anaanza kuchoma bendera ,kupora ofisi na mali na kuteka majengo ya CUF kuwa yeye ACT wazalendo wakati hata kadi hanw.Hayo makundi ndio Yale yalikuwa yakipora misikitini Tanzania Bara polisi walipokomaa wakatororoka wamekuja onekana sura zao kwenye uporaji majengo ya CUF Zanzibar
Yani wanatafutwa hawapatikani halafu leo wanafanya 'uporojai' ndio wapewe kesi

Jr
 
Nadhani CUF ina muda mchache sana katika midomo yetu wanaCCM..sasa hivi itakuwa sio hoja. Tulicho bugi ni kushindwa kuwa na mkakati wa kudhoofisha vyama vyote at per tukashupalia CUF..sasa matokea yake CUF inakufa ACT inaungana na CDM kuimarika..yaani duuh. Strategists wetu pale LUMUMBA bado hawako vizuri katika kuweka mambo sawa. Namsifu Maalim kuona hilo..kama angehamia CDM ingekuwa peke yake katika uimara lakini tumerudi pale pale kwa CUF + CDM = CDM +ACT. lakini nashauri tuijenge nchi yetu hivi vyama vya ukinzani hata vikifa au b=vikiishi sio dhumuni la CCM..CCM yajenga nchi iwe ndio kauli yetu na maneno yetu wanaCCM. Porojo waachiwe wapingaji.
HAYA MANENO NI WEWE PEKEYAKO MWANA LUMUMBA ANAYEWEZA KUJITOA MUHANGA NA KUSEMA ILIYOKWELI... LKN WALIOBAKIA KAMA KINA YEHODAYA cocochanel na yule mgonjwa wa stroke Ufipa-Kinondoni alexelias ATAKAEWEZA KUBINUA MIDOMO KUONGEA UHALISIA... WAJARIBU KAMA WATAWEZA..
HONGERA MKUU... BAKIHUKOHUKO NA MSIMAMO WAKO
 
Mimi ni mzanzibar. Anachokitafuta lipumba ni matibabu. Kama ana hamu na hospitali sawa
 
Nadhani CUF ina muda mchache sana katika midomo yetu wanaCCM..sasa hivi itakuwa sio hoja. Tulicho bugi ni kushindwa kuwa na mkakati wa kudhoofisha vyama vyote at per tukashupalia CUF..sasa matokea yake CUF inakufa ACT inaungana na CDM kuimarika..yaani duuh. Strategists wetu pale LUMUMBA bado hawako vizuri katika kuweka mambo sawa. Namsifu Maalim kuona hilo..kama angehamia CDM ingekuwa peke yake katika uimara lakini tumerudi pale pale kwa CUF + CDM = CDM +ACT. lakini nashauri tuijenge nchi yetu hivi vyama vya ukinzani hata vikifa au b=vikiishi sio dhumuni la CCM..CCM yajenga nchi iwe ndio kauli yetu na maneno yetu wanaCCM. Porojo waachiwe wapingaji.
1. CCM siyo chama cha siasa bali chama dola.
2. CCM ya 1977 siyo ya sasa
3. CCM ya 1992 siyo ya sasa
4. CCM ya Mkapa Kikwete siyo ya 1992
5. Sasa hivi hakuna CCM kuna Magufuli na polisi ndiyo chama.

Nchi ilijengwa na Azimio la Arusha ikabomolewa na Azimio la Zanzibar. Sasa tuna dikteta bulldozer anayeifukia nchi kwenye kaburi.
 
Back
Top Bottom