Mwenyekiti wa CUF ni nani kwa sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa CUF ni nani kwa sasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dik, Nov 16, 2011.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jamii f nawasalimu wote!hv prof Lipumba kapotelea wapi!au ndo keshakubali mziki wa cdm!
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,351
  Trophy Points: 280
  Kwenye ndoa mume ndio mkuu wa nyumba.
  So Mwenyekiti wa CUF kwa sasa ni JMK
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hamna kitu tena,wenye chama (maalim Seif) waliamua kuingia katika serikali ya ccm (ndoa), kila kitu kiliishia hapo! wala usihangaike nao tena mkuu
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nawashari viongozi wa CCM huku bara, waachane na akina Maalim Seif, Duni na wengineo ambao wanafaidi 'vyeo' walivyogawiwa na CCM. Nawasihi wajiunge na CDM kuikomboa Bara.
   
 5. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaimarisha ndoa yao na magamba
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mwanamke akiolewa huwa anafuata masharti ya mwoaji!thus cuf kama mke lazima itii masharti ya ccm kama bwana.
   
Loading...