Nimesoma taarifa hapa kwamba Baraza Kuu la Uongozi la Chama Cha Wananchi CUF Taifa, Limeridhia na Kupitisha Kwa Kauli moja kwamba Mh. Twaha Taslima kugombea Nafasi ya Ubunge Ktk Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kupitia CUF lakini hii ilikuwa ni kwa upande wa Maalim Seif kama Katibu Mkuu.
Swali langu Ivi Lipumba yeye na mama Sekaya ambaye sasa ndio Katibu Mkuu wamempendekeza nani kugombea ile nafasi mana CUF kule zanzibar Maalim seif ndio kavuliwa kila kitu sasa chama rasmi ni kipo kwa Bwana Lipumba. Sasa Lipumba wao kama Taasisi kubwa ya chama cha kisiasa Tanzania wamemteuwa nani kugombea ile nafasi?
Naomba kuwasilisha.