jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,987
- 22,515
Mwita, si kwamba analaumiwa, ni kitendo hicho kuhudhuriwa na makamu wa Rais na kupiga picha akiwa na kadi ya chama chenu iliyorudishwa, kwahiyo ina maana walitaka issue ijadiliwe.Tusimlaumu, katumia haki yake ya uhuru wa kidemokrasia kuhamia ccm, huenda ameona ndipo anaweza kutimiza ndoto yake.
Ninachosubiri ni kupata uthibitisho kama kweli alikuwa ni mwenyekiti, maana siku hizi kila anayeondoka chadema kwenda ccm anajitafutia cheo cha kuondokea.
Jambo hilo kupewa uzito na wenye vyeo, ndilo linapelekea hisia za cheo, so usishangazwe mkuu, huyo yuko kibinafsi, anawatumia magamba na gamba wanamtumia.