Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha maombi kwa ajili ya Mbowe

Amewasamehe wote waliomfanyia ubaya yeye pamoja na upinzani nchini Zambia. Ametaja mateso aliyopitia ikiwa ni pamoja na kushtakiwa kwa uchochezi na ugaidi na kuswekwa ndani na aliyekuwa Rais Edgar Lungu. Amewahakikishia Wazambia kuwa hatalipiza kisasi. Je Tanzania ina chochote cha kujifunza hapa?

Sidhani, thubutu...CCM ni zaidi ya makaburu kwani hata makaburu waliomba msamaha kwa ukatili waliowafanyia Mandela na wapigania uhuru wa Afrika Kusini.
FB_IMG_1629297093946.jpg
 
MSIMSUMBUE mUNGU NA MAMBO YENU YAA AJABU AJABU ANA KAZI NYINGI SANA
Umewasiliana na Muumba akakueleza hayo?
Mungu ndio kimbilio la mwanadamu kwa kila jambo na yeye ameacha milango wazi kwa wamuaminio!
Usijifanye wewe ndiye msemaji wa Muumba wetu,yeye hasemewi wala kupangiwa!
Tuwe na staha!
 
Wacheni kubisha...
Uamsho walikuwa waislam na walikaa ndani takriban miaka nane.
Mbowe yuko selo kama 20 days na ni Christian na anayo haki ya kufanyiwa maombi.
KAA MBALI NA MOTO WA DINI
 
This is unacceptable in Democratic state.
Which "democratic state" are you referring to?

This is "acceptable" because Tanzania is NOT a "democratic" state.

This is a statement of fact, and has nothing to do with what I desire for Tanzania should be.
 
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani na watawala wa Tanzania kwa tuhuma za uzushi za Ugaidi .
Tatizo kubwa tulilo nalo Watanzania ni hili hapa, ndio maana hata hivi vi-konstebo vya wilayani vinatusumbua na tunakunywa navyo ulanzi kila siku

1629301406220.png
 
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani na watawala wa Tanzania kwa tuhuma za uzushi za Ugaidi .

Ikumbukwe kwamba OCD wa Kilosa ni ndugu Lwelwe Mpina aliyekuwa OCD wa Hai na ambaye alishirikiana na Ole Sabaya kwenye masuala yote ya ujambazi wa kutumia Silaha na uporaji , badala ya Lwelwe Mpina kuunganishwa kwenye kesi za Sabaya , akahamishwa na Sirro ili akajifiche Kilosa , ambako bado anaendeleza unyama ule ule alioufanya Hai akijiamini kwamba ataendelea kulindwa .

Mungu ibariki Chadema
Watashindana lakini hawatashinda
 
Huyu mwamba unamfananisha na faru John?. Hilo genge lenu la Ufipa lipo so disorganized, hakuna mwananchi mwenye akili timamu anayeweza kuwaamini magaidi.
Singizia watu kuwa wao ni magaidi, tambua uwepo wa Mungu mwenye nguvu zaidi.
 
Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani na watawala wa Tanzania kwa tuhuma za uzushi za Ugaidi .

Ikumbukwe kwamba OCD wa Kilosa ni ndugu Lwelwe Mpina aliyekuwa OCD wa Hai na ambaye alishirikiana na Ole Sabaya kwenye masuala yote ya ujambazi wa kutumia Silaha na uporaji , badala ya Lwelwe Mpina kuunganishwa kwenye kesi za Sabaya , akahamishwa na Sirro ili akajifiche Kilosa , ambako bado anaendeleza unyama ule ule alioufanya Hai akijiamini kwamba ataendelea kulindwa .

Mungu ibariki Chadema
Aliyefichwa Kilosa ni OCD au David? Kama OCD kaenda na Sabaya hiyo ni wiki iliyopita, wakati David si ni mzaliwa? Msichanganye issues. Binadamu wengi huomba rohoni mwao wakati wa kulala au kula. Nani akukamate ukiomba rohoni mwako Mbowe aachiwe, direct au kwa msaada wa Bikira Maria? Tuambie: kakosa nini? Muwe wawazi.
 
sasa kumuombea Mbowe ni kosa? Mama Samia ukianza upumbavu kama.magufuli utafia madarakani na wewe..mwenzako alipiga marufuku Tundu Lissu asiombewe saizi Tundu Lissu mzima wa afya kabisa...angalia usije ukaenda zako na wewe
 
Aliyefichwa Kilosa ni OCD au David? Kama OCD kaenda na Sabaya hiyo ni wiki iliyopita, wakati David si ni mzaliwa? Msichanganye issues. Binadamu wengi huomba rohoni mwao wakati wa kulala au kula. Nani akukamate ukiomba rohoni mwako Mbowe aachiwe, direct au kwa msaada wa Bikira Maria? Tuambie: kakosa nini? Muwe wawazi.
kosa lake ni kuhamasisha wanachama wa chadema kumuombea Mbowe , kumbuka hata maombi yenyewe hayakufanyika , bali kulikuwa na kuhamasishana tu
 
Back
Top Bottom